Habari wanaJF,
Ninaomba tucheze mchezo unaitwa "wa mwisho ndo mshindi". Ni mchezo rahisi sana, unaanzisha sentensi kwenye neno la mwisho la sentensi aloandika mwenzako.
Mfano:
Ualimu Tanzania ni kazi ngumu kiasi
Kiasi ambacho kama hukuzoea maisha ya tabu, utalalama kila siku
Siku uianze vizuri bwana, ukiianza vibaya lazima utukane mwenzio
Mwenzio ni mtu ambaye mnaweka hisia zenu pamoja bila kusalitiana kama dr. Ulimboka na madkatari
Madaktari wa Tanzania wanahitaji kulipwa zaidi (tuendelee kwa mtindo huo wanaJF, wa mwisho ndo winner. Karibuni sana)