Ndani ya Nyumba yoyote ile kunahitajika utulivu
Watu wengine utulivu wameuzoea hata wanapokuwa Nyumbani unaweza hisi Nyumba haina watuUtulivu ukizidi sana tutajua hamna watu
Watu ni mimi,wewe na yuleWatu wengine utulivu wameuzoea hata wanapokuwa Nyumbani unaweza hisi Nyumba haina watu
Wake wamemzunguka wanamchuna ndo maana haonekani humu.Yule alieanzisha huu uzi ameenda wapi, mbona katuachia sisi huu mchezo wake
Lini vile daaah hata sikumbukiHumu mara ya mwisho kuonekana ni lini
Sikumbuki kosa lolote nililofanya
Nililofany ni dogoSikumbuki kosa lolote nililofanya
Dogo JanjaNililofany ni dogo
Janja kama janjaroDogo Janja
Dogo janja wa road backtown ManzeseDogo Janja
Manzese kuna mlundikano wa watu sokoniDogo janja wa road backtown Manzese
Nalog off
Sokoni ni eneo zuri la kupata mchumbaManzese kuna mlundikano wa watu sokoni
Mchumba wa sirbaya ni halali ya raia kwa sasa,Sokoni ni eneo zuri la kupata mchumba
Nalog off
Mchumba wa sirbaya ni halali ya raia kwa sasa,
Aliko dangoteSasa hivi anajiskiaje huko aliko
Dangote ana kiwandaAliko dangote