trigger_
JF-Expert Member
- Apr 9, 2019
- 722
- 1,341
Nikumbushe lipi ni tamu zaidiTunda unalopenda zaidi ni?
Nikumbushe lipi ni tamu zaidiTunda unalopenda zaidi ni?
Nikumbushe lipi ni tamu zaidi
Chungwa na embe yote matamuuuZaidi ni lipi kati ya embe na chungwa
Matamuu km yatampata mlaji mjuvi!Chungwa na embe yote matamuuu
Mjuvi wa kula hahitaji elimuMatamuu km yatampata mlaji mjuvi!
Elimu hio mtu huzaliwa nayo km samaki na kuogelea!Mjuvi wa kula hahitaji elimu
Moyo ni stoo ya mambo mengi ya mwanadamu.Kuogelea katikati ya bahari ya atlankiti kunahitaji moyo
Moyo ni stoo ya mambo mengi ya mwanadamu.
Mitatu kama ipi?Mwanadamu ana moyo mmoja. Pweza ana mioyo mitatu
Ipi njia ya kwenda kiluvyaMitatu kama ipi?
Ipi njia ya kwenda kiluvya
Kufika mpaka uwe na diliKiluvya sijawahi kufika
Dili zimekua adimu kama usichana kwa machangudoaKufika mpaka uwe na dili
Machangudoa wanawindwa na polisiDili zimekua adimu kama usichana kwa machangudoa
Machangudoa wanawindwa na polisi
Barabarani Ajali zimepungua kulinganisha na hapo awaliPolisi na matrafki siku hizi wamechangamka sana barabarani
Barabarani Ajali zimepungua kulinganisha na hapo awali
Bodaboda zile ajali zilikuwa tishio kwa watanzaniaAwali ajali nyingi zilikuwa za bodaboda