MalcolM XII
JF-Expert Member
- Mar 19, 2019
- 5,230
- 14,191
Kiswahili ni lugha rahisi sana kujifunza na kuielewa
Kuielewa The Theory of Relativity ya bwana Albert Einstein inahitaji ubongo uliotulia
Kiswahili ni lugha rahisi sana kujifunza na kuielewa
Hata wewe ungeendelea kuutembezakudadeki mleta uzi umesababisha uzi umetembea kiwaki
Kuutembeza ngoma ya mdundiko ni kuibua taharuki....Hata wewe ungeendelea kuutembeza
kiwaki kimewaka wee...kudadeki mleta uzi umesababisha uzi umetembea kiwaki
Wee mgeni ktk uzi huu karibu kwa heshimakiwaki kimewaka wee...
Heshima kwa wote humuWee mgeni ktk uzi huu karibu kwa heshima
Humu kuna vichwa na vijana wenye nyotaHeshima kwa wote humu
Nyota zina ng'aa sana usikuHumu kuna vichwa na vijana wenye nyota
Nyota njema huonekana asubuhiHumu kuna vichwa na vijana wenye nyota
Usiku mnene na mvua inanyesha ..Nyota zina ng'aa sana usiku
Inanyesha haswaa tena na radi za paa paaaUsiku mnene na mvua inanyesha ..
Paa paa huwa ni mlio unaosikika pindi napokuwaga napiga t..a""koInanyesha haswaa tena na radi za paa paaa
Ko ni.kifupi cha korogwePaa paa huwa ni mlio unaosikika pindi napokuwaga napiga t..a""ko
heshima ni jambo la msingi, kuwa na heshima kabla ya kunyooshwa kijana.Wee mgeni ktk uzi huu karibu kwa heshima
Kijana ni muhimu kuwa na adabuheshima ni jambo la msingi, kuwa na heshima kabla ya kunyooshwa kijana.
Adabu izingatiwa haswa ila hapa warembo mbona wachacheKijana ni muhimu kuwa na adabu
Adabu izingatiwa haswa ila hapa warembo mbona wachacheKijana ni muhimu kuwa na adabu
Wachache wameitikia wito wa mkuuAdabu izingatiwa haswa ila hapa warembo mbona wachache
Mkuu naona kwenye avatar yako.umependeza haswaaWschache wameitikia wito wa mkuu