bway hermit
JF-Expert Member
- Jan 8, 2017
- 1,311
- 2,301
Kizazaa cha fumaniziChepuka na usionekane ktk hali ya kizazaa
Kizazaa cha fumaniziChepuka na usionekane ktk hali ya kizazaa
Fumanizi kitu kibayaKizazaa cha fumanizi
Kibaya sana kama umenaswa na mtoto wa shuleFumanizi kitu kibaya
Shule zikifungwa mitaani wanafunzi jaa kila konaKibaya sana kama umenaswa na mtoto wa shule
Kona bar kuna pisiShule zikifungwa mitaani wanafunzi jaa kila kona
Pisi za dar zinapenda zegeKona bar kuna pisi
Zege mara moja moja sio mbaya, vinginevyo unakaribisha kitambiPisi za dar zinapenda zege
Mazoezi muhimuKitambi ni matokeo ya ulaji m'bovu na ukosefu wa mazoezi
Show za kibabe ziko mikoaniMuhimu kwelikweli kama hutaki kudhalilika kwenye show
Mazoezi muhimu sana kwa Afya ya kila mtu, haijalishi umnene au mwembambaMazoezi muhimu
Mikoani ndipo palianzia neno la wanaume wa darShow za kibabe ziko mikoani
Mwembamba unafeli WAP mbona hufuati utaratibu wa huu uziMazoezi muhimu sana kwa Afya ya kila mtu, haijalishi umnene au mwembamba
dar kuna joto sanaMikoani ndipo palianzia neno la wanaume wa dar
Utaratibu wa huu uzi ni zaidi ya unavyoufahamu weweMwembamba unafeli WAP mbona hufuati utaratibu wa huu uzi
Wewe hauiskii harufuUtaratibu wa huu uzi ni zaidi ya unavyoufahamu wewe
HARUFU mie ni msikivu sana KiongoziWewe hauiskii harufu
Wewe ndo mshindiUtaratibu wa huu uzi ni zaidi ya unavyoufahamu wewe
Mshindi bado sana kupatikanaWewe ndo mshindi