Boogman
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 2,402
- 5,497
Shughuli ipo kwa sisi kumpendeza Mungu kwa matendo na maneno yetu!Mungu wa milele atubariki katika zetu shughuli
Shughuli ipo kwa sisi kumpendeza Mungu kwa matendo na maneno yetu!Mungu wa milele atubariki katika zetu shughuli
Maneno yetu yasilete maumivu kwa ndugu,jamaa au marafiki zetuShughuli ipo kwa sisi kumpendeza Mungu kwa matendo na maneno yetu!
Zetu shukrani zimuendee yeye aliye juu kwa kutuamsha salama asubuhi ya leoManeno yetu yasilete maumivu kwa ndugu,jamaa au marafiki zetu
Leo ikawe siku ya Baraka kwenu nyote.Zetu shukrani zimuendee yeye aliye juu kwa kutuamsha salama asubuhi ya leo
Baraka kwenu wote mnaomcha MUNGU na kujiepusha na uovu.Leo ikawe siku ya Baraka kwenu nyote.
Uovu ukiuendekeza mwisho wake hua sio mzuriBaraka kwenu wote mnaomcha MUNGU na kujiepusha na uovu.
Mzuri wa Tabia hupendwa na hupewa nafasiUovu ukiuendekeza mwisho wake hua sio mzuri
1 moja ni hesabu pekee isiyogawanyika..
Isiyogawanyika kwa namba yoyote1 moja ni hesabu pekee isiyogawanyika..
Yeyote au yoyote mimi ni mmoja wenuIsiyogawanyika kwa namba yoyote
Yeyote au yoyote mimi ni mmoja wenu
Taifa letu pendwa tulipe hadhi na Ulinzi...Wenu katika ujenzi wa taifa
Taifa letu pendwa tulipe hadhi na Ulinzi...
Mali tunazitafuta Kwa nguvu nyingi halafu wezi wanakuja kutuibiaUlinzi wa raia Pamoja na Mali
Mali tunazitafuta Kwa nguvu nyingi halafu wezi wanakuja kutuibia
Nalog off
Kesi itakufika ukizingua mifumo ya waheshimiwa !!Kutuibia wanatuibia na Polisi hawasaidii chochote kwenye hizo kesi
Kesi itakufika ukizingua mifumo ya waheshimiwa !!
Makubwa haya! Sikuwahi kusikia wakisema watuWaheshimiwa wenye matumbo yao makubwa
Watu kama sisi waungwana haijuzu kutaja maumbile ya binadamu mwenzetu...Makubwa haya! Sikuwahi kusikia wakisema watu
Mwenzetu akipatwa na matatizo hatuna budi kushirikiana naye na kumsaidiaWatu kama sisi waungwana haijuzu kutaja maumbile ya binadamu mwenzetu...