El murjeb
JF-Expert Member
- Nov 15, 2019
- 484
- 2,123
Siku yenyewe haifahamiki.Motoni patakua hapatoshi ikiwadia hyo siku
Siku yenyewe haifahamiki.Motoni patakua hapatoshi ikiwadia hyo siku
Haifahamiki ila tujiandae wakati woteSiku yenyewe haifahamiki.
Wakati wote tutathmini utendaji wetu unavyo stahiki kimaendeleo na kiuchumi ..Haifahamiki ila tujiandae wakati wote
Kiuchumi Tanzania tumezidiwa na kenya na rwanda??Wakati wote tutathmini utendaji wetu unavyo stahiki kimaendeleo na kiuchumi ..
Rwanda yote ni kama mkoa mmoja ktk Kanda pendwa!!!Kiuchumi Tanzania tumezidiwa na kenya na rwanda??
Kanda pendwa nchini TanzaniaRwanda yote ni kama mkoa mmoja ktk Kanda pendwa!!!
Wavumilivu mara nyingi hua wanafanikiwa katika maishaMaana yake ni kwamba tujitahidi kuwa wavumilivu
Maisha ni furaha na huzuni kati ya hayo hakuna kitakacho dumu..Wavumilivu mara nyingi hua wanafanikiwa katika maisha
Dumu la maji limeongezeka beiMaisha ni furaha na huzuni kati ya hayo hakuna kitakacho dumu..
Bei za mafuta zimeongezeka kiasi kwamba gharama za maisha zitakuwa juu sana!Dumu la maji limeongezeka bei
Sana sana tuishi maisha ya kumpendeza Mungu.Bei za mafuta zimeongezeka kiasi kwamba gharama za maisha zitakuwa juu sana!
Mungu wa milele atubariki katika zetu shughuliSana sana tuishi maisha ya kumpendeza Mungu.