captain 21
JF-Expert Member
- Mar 27, 2021
- 583
- 1,182
ngazi kwa ngazi mdogo mdogo tutafikaJengo letu ni lefu zaidi paka naogopa kupanda ngazi
ngazi kwa ngazi mdogo mdogo tutafikaJengo letu ni lefu zaidi paka naogopa kupanda ngazi
Tutafika wap mkuungazi kwa ngazi mdogo mdogo tutafika
Mkuu wa mkoa anajitahidi kuboresha miundombinu !!Tutafika wap mkuu
Miundombinu ikiwa mibovu inafifisha uchumi.Mkuu wa mkoa anajitahidi kuboresha miundombinu !!
Uchumi wa kati umetuponzaMiundombinu ikiwa mibovu inafifisha uchumi.
Umetuponza unyonge wetu mpaka tunanyonywaUchumi wa kati umetuponza
Tunanyonywa kivipi tena jamani,,?
Jamani wengi wetu tuna Tabia na hulka za kulalama na kusononeka !!Tunanyonywa kivipi tena jamani,,?
Kusononeka, kulalama, ongezea na kutokuridhikaJamani wengi wetu tuna Tabia na hulka za kulalama na kusononeka !!
Kutoridhika na hii tozo ya miamala ni haki yetu?Kusononeka, kulalama, ongezea na kutokuridhika
Ni haki yetu, hilo halina mjadalaKutoridhika na hii tozo ya miamala ni haki yetu?
Nalog off
Mjadala wa kudai kuondolewa Kwa hii tozo uendeleeNi haki yetu, hilo halina mjadala
Uendelee mjadala mpaka hapo suluhisho litakapopatikanaMjadala wa kudai kuondolewa Kwa hii tozo uendelee
Nalog off
Litakapopatikana suluhisho juu ya tozo za miamala,tutalitafuta tatizo jengine kandamizi na kulipigia kelele ili lipatiwe ufumbuzi kwa ustawi wa Taifa letu.Uendelee mjadala mpaka hapo suluhisho litakapopatikana
Taifa letu adhimu lina jengwa kwa moyo wa utendaji na uwajibikaji na siyo kwa maneno au ujanjaLitakapopatikana suluhisho juu ya tozo za miamala,tutalitafuta tatizo jengine kandamizi na kulipigia kelele ili lipatiwe ufumbuzi kwa ustawi wa Taifa letu.
Nalog off
Ujanja mwingi Kwa baadhi ya viongozi basi mwisho Wake ni kizaTaifa letu adhimu lina jengwa kwa moyo wa utendaji na uwajibikaji na siyo kwa maneno au ujanja
Kiza kinene nyimbo ya nandy na sauti solUjanja mwingi Kwa baadhi ya viongozi basi mwisho Wake ni kiza
Nalog off
Wapi mkoa unao ishi ueleke Hospitali ya rufaa!!Chanjo zinatolewa kutokea sehemu gani
Nikitaka kudungwa chanjo naenda wapi
Rufaa ya kesi imekataliwaWapi mkoa unao ishi ueleke Hospitali ya rufaa!!