Abrianna
JF-Expert Member
- Mar 30, 2021
- 4,697
- 15,374
Itakugharimu maisha yako na familia yakoSiasa ni porojo tupu ukipokea itakugharimu
Itakugharimu maisha yako na familia yakoSiasa ni porojo tupu ukipokea itakugharimu
Familia yako usiilishe au kumvisha mali ya haramu...Itakugharimu maisha yako na familia yako
Yako yamekushindaItakugharimu maisha yako na familia yako
Yamwkushinda kwa sababu hukujipangaYako yamekushinda
Hukujipanga mwaka huu ulipo anza ndio maana unahangaikaYamwkushinda kwa sababu hukujipanga
Unahangaika kutafuta maisha hadi unasahau kuishiHukujipanga mwaka huu ulipo anza ndio maana unahangaika
Kuishi kwingi ni kuona mengiUnahangaika kutafuta maisha hadi unasahau kuishi
Mengi ni vihoja na vibwagizo hakuna uhalisia ...Kuishi kwingi ni kuona mengi
Uhalisia wa maisha yetu inabidi tuuishi tusificheMengi ni vihoja na vibwagizo hakuna uhalisia ...
Tusifiche magonjwa mauti yatatuumbua..Uhalisia wa maisha yetu inabidi tuuishi tusifiche
Yatatuumbua kwa kweliTusifiche magonjwa mauti yatatuumbua..
Kweli ishi maisha yako usiigizeYatatuumbua kwa kweli
Usiigize maisha ya mwingine, utapata tabu sanaKweli ishi maisha yako usiigize
Nalog off
Sana yaani utajipalia sonona.Usiigize maisha ya mwingine, utapata tabu sana
Sonona ni noma na nusuSana yaani utajipalia sonona.
Nusu ya shari au balaa ni heri kuliko Msiba...!!!Sonona ni noma na nusu
Hiyo methali niliwah kuisikia kipindi niko shule ya msingiNusu ya shari au balaa ni heri kuliko Msiba...!!!
( munaijua methali hiyo???)
Msingi wa jengo Halifai !!Hiyo methali niliwah kuisikia kipindi niko shule ya msingi
Halifai kwa kukaa lile jengoMsingi wa jengo Halifai !!
Jengo letu ni lefu zaidi paka naogopa kupanda ngaziHalifai kwa kukaa lile jengo