Abrianna
JF-Expert Member
- Mar 30, 2021
- 4,697
- 15,382
Anachopika inategemea utaalamu wakeMpishi hukinai mapema anachopika !!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anachopika inategemea utaalamu wakeMpishi hukinai mapema anachopika !!
Wake wa mfalme Namrod walihofia kuuliwaAnachopika inategemea utaalamu wake
Kuuliwa mara nyingi hutokea bila matarajio.Wake wa mfalme Namrod walihofia kuuliwa
Matarajio ya Leo ilikuwa ni lazima Simba Sports Club ishindeKuuliwa mara nyingi hutokea bila matarajio.
Nalog Off lakini nikiamka nitalog InMatarajio ya Leo ilikuwa ni lazima Simba Sports Club ishinde
Nalog off
Nitalog In tena keshoNalog Off lakini nikiamka nitalog In
Muumba wa mbingu na dunia ni Mungu mkuu.Kesho ni siri y Muumba
Mkuu wa kundi la wajasiriamali ameweka msimamo!!Muumba wa mbingu na dunia ni Mungu mkuu.
Msimamo wa nchi unapaswa kuheshimiwaMkuu wa kundi la wajasiriamali ameweka msimamo!!
Kuheshimiwa Viongozi, Wakuu, na mwalimu ni wajibu wa kumaadili ...Msimamo wa nchi unapaswa kuheshimiwa
Wajibu ea kimaadili unapaswa kutimizwa na woteKuheshimiwa Viongozi, Wakuu, na mwalimu ni wajibu wa kumaadili ...
Wote tunapaswa Kusaidiana tuweze kutokomeza adui umasikini na ufukara !!Wajibu ea kimaadili unapaswa kutimizwa na wote
Ufukara ni umasikini uliokubuhu.Wote tunapaswa Kusaidiana tuweze kutokomeza adui umasikini na ufukara !!
Uliokubuhu mwendo huu wa kunyanyasa wanyonge !!Ufukara ni umasikini uliokubuhu.
Wanyonge ni YangaUliokubuhu mwendo huu wa kunyanyasa wanyonge !!
Yanga ina historia kubwa nakadhalika SIMBA inatambulika !!!!!!Wanyonge ni Yanga
Nalog off
Simba inatambulika kimataifaYanga ina historia kubwa nakadhalika SIMBA inatambulika !!!!!!
Kimataifa Tanzania hatuna uadui wala bifu na mataifa ya nje !!Simba inatambulika kimataifa
Nje ya Tanzania tuna heshima kubwaKimataifa Tanzania hatuna uadui wala bifu na mataifa ya nje !!