captain 21
JF-Expert Member
- Mar 27, 2021
- 583
- 1,181
Miungu inaweza kukufikisha mahali pabayaUlivyoandika wewe ina maana ni Mungu wa mbinguni mimi nilimaanisha miungu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Miungu inaweza kukufikisha mahali pabayaUlivyoandika wewe ina maana ni Mungu wa mbinguni mimi nilimaanisha miungu
Pabaya unafikishwa na matendo yako sio miunguMiungu inaweza kukufikisha mahali pabaya
Pabaya sana kukaa sehemu ambayo hatajwi MunguMiungu inaweza kukufikisha mahali pabaya
Mungu ni mwema siku zotePabaya sana kukaa sehemu ambayo hatajwi Mungu
Nalog off
Zote kumi zimapatikana kwa msaada wa vijanaMungu ni mwema siku zote
Zote kumi zimapatikana kwa msaada wa vijana
Shida ya maji bado ni mtihani hapa nchiniVijana wa sasa aisee ni shida
Nchini tuna huzuni kwa msiba wa aliyekuwa Rais wa kwanza nchini ZambiaShida ya maji bado ni mtihani hapa nchini
Nchini tuna huzuni kwa msiba wa aliyekuwa Rais wa kwanza nchini Zambia
Bongo usipokua makini utalizwaZambia kufanyanini tutakomaa hapahapa bongo
Bongo usipokua makini utalizwa
Umeisha ujanja wa kijijiniUtalizwa sana maana haya maisha ukichanganya na stress za mapenzi umeisha
Kijijini mtandao unasumbuaUmeisha ujanja wa kijijini
Unasumbua Kwa kuwa makampuni hayajawekeza kwenye miundombinu kwenye vijijiKijijini mtandao unasumbua
Vijiji vingi maisha magumu sababu ya miundombinuUnasumbua Kwa kuwa makampuni hayajawekeza kwenye miundombinu kwenye vijiji
Nalog off
Miundombinu ya maji na barabara
Barabara ya Nelson Mandela Dar es SalaamMiundombinu ya maji na barabara
Dar es salaam ni jiji linaloongoza Tanzania.Barabara ya Nelson Mandela Dar es Salaam
Dar es salaam kijografia kwa mujibu wa michoro ya kikoloni nasikia ni sehemu ya zanzibar kiutawalaBarabara ya Nelson Mandela Dar es Salaam
Kiutawala bado sana kwa nchi zetu za kiafricaDar es salaam kijografia kwa mujibu wa michoro ya kikoloni nasikia ni sehemu ya zanzibar kiutawala
Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app