Lenie
JF-Expert Member
- Aug 3, 2012
- 17,226
- 49,850
Maporini hapafai kutembea usikuMjini kwa sasa hakufai, kila mtu anakimbilia huko. Bora sisi wazee wa maporini tuendelee na maisha yetu ya kujificha maporini, yaani kutoka pori moja kwenda pori jingine.
Mjini tunapita kusalimia tu, kisha tunarudi maporini