captain 21
JF-Expert Member
- Mar 27, 2021
- 583
- 1,181
tamaa maana yake ni kazi iendelee hakuna kurudi nyumaNini maana ya kutokata tamaa?
tamaa maana yake ni kazi iendelee hakuna kurudi nyumaNini maana ya kutokata tamaa?
Mkakamavu sio lazima Sana hata legelege anaweza kuingia kwa mujibu wa sheriaNamna ya kuingia jeshini, lazima uwe mkakamavu
sheria ni msumenoMkakamavu sio lazima Sana hata legelege anaweza kuingia kwa mujibu wa sheria
Msumeno hutumiwa na fundi mbaosheria ni msumeno
mbao za tunduma zipo poa sana kwa ujenzi wa paaMsumeno hutumiwa na fundi mbao
Paa la Nyumba ya Babu limechakaa sana, linahitaji kubadilishwambao za tunduma zipo poa sana kwa ujenzi wa paa
kubadilishwa kwa viongozi ni jambo linaloweza kutokea muda wowotePaa la Nyumba ya Babu limechakaa sana, linahitaji kubadilishwa
Muda wowote Mama huwa anafanya mabadiliko, kwa kweli hatabirikikubadilishwa kwa viongozi ni jambo linaloweza kutokea muda wowote
hatabiriki ni muhimu kuwa tayari kila sikuMuda wowote Mama huwa anafanya mabadiliko, kwa kweli hatabiriki
Siku kila inayoenda inatakiwa uwe umejiandaa kisaikolojiahatabiriki ni muhimu kuwa tayari kila siku
Selo pasikie hivi hivi usiombe uingie weweKisaikolojia Mdude hajaathirika japo yuko selo
Wa selo ni mbichi na hauna mbogaUkiingia tu siku ya kwanza ndo utajua ugali ni mtamu ila sio wa selo
Kichumamboga ndio nini hebu tuelewesheMboga hata ziwe saba hazizidi utamu wa kichumamboga
Tueleweshe sababu humu hakuna shambaKichumamboga ndio nini hebu tueleweshe
Shamba la miwa limechomwa motoTueleweshe sababu humu hakuna shamba
Moto mkali umeteketeza msituShamba la miwa limechomwa moto
Msitu mkubwa una wanyama wakaliMoto mkali umeteketeza msitu