Foxhound
JF-Expert Member
- Dec 15, 2013
- 28,044
- 74,448
Wazuri kweli au uzuri wa mkakasiTena kumejaa watoto wazuri
Wazuri kweli au uzuri wa mkakasiTena kumejaa watoto wazuri
Nini kusumbuana kwa maswali, nenda kagoogleMkakasi?? Hivi mkakasi maana yake nini?
Kagoogle ni kiswahili,???Nini kusumbuana kwa maswali, nenda kagoogle
Kiswahili hakiko hivyoKagoogle ni kiswahili,???
Kinaeleweka tu bila hata kueleweshwaHivyo hivyo kinaeleweka tu
kueleweshwa hueleweshwa wasioelewa hata hivo elimu haina mwisho ipo siku utaelewa tu si lazima uelewe leo
Leo ni leo msema kesho ni muongokueleweshwa hueleweshwa wasioelewa hata hivo elimu haina mwisho ipo siku utaelewa tu si lazima uelewe leo
Muongo wee, hujala mhogo?
Mhogo wa kukaanga mtamu sana jamani
Hivi simba hunyanyaswa kweli? 😂 Nilidhani ni mfalme wa kichakaniJamani mbona simba wananyanyaswa hivi?
Kichakani kumemwagiliwa mafuta kisha kukawashwa moto, wapi Washawasha?Hivi simba hunyanyaswa kweli? 😂 Nilidhani ni mfalme wa kichakani
Washawasha nipo kabisa Kwa jeuri ya chamaKichakani kumemwagiliwa mafuta kisha kukawashwa moto, wapi Washawasha?
Chama leo kabanwa mbavuWashawasha nipo kabisa Kwa jeuri ya chama
Nalog off
Nne ndio sahihi ila kutamka inne ni makosaMbavu zimetekenyeka kileleni mara nne ...
Makosa kwa nini tenaNne ndio sahihi ila kutamka inne ni makosa
Nalog off
Tena Simba wana bahati ila leo wangepigwa za kutoshaMakosa kwa nini tena
kutoshana nguvu na kaiizer chief ingekua vizuri zaidiTena Simba wana bahati ila leo wangepigwa za kutosha