Abrianna
JF-Expert Member
- Mar 30, 2021
- 4,697
- 15,374
Utamu wa pesa aujua mtafutaji
Utamu wa pesa aujua mtafutaji
Mtafutaji nakutafuta mama tuendelee naaishaUtamu wa pesa aujua mtafutaji
Maisha ya JF usiyachukulie serious sana utaumia, unaowaona hapa waache hapahapa ukijaribu kuwaingiza kwenye real life utaumia, a simple adviceMtafutaji nakutafuta mama tuendelee naaisha
Advice yako imekaa vizur wacha niifanyie kaziMaisha ya JF usiyachukulie serious sana utaumia, unaowaona hapa waache hapahapa ukijaribu kuwaingiza kwenye real life utaumia, a simple advice
Karibu wageni JFKazi Inaendelea . Nakusalimu Abrianna kwa jina lajumuhuri ya ghetto. Namiliki geto moja kama store vile vile namiliki moyo safi karibu.
JF idumu mileleKaribu wageni JF
Milele daima Legacy yake haitafutikaJF idumu milele
Haitafutika akilini mwangu ni Shule ya msingi MapambanoMilele daima Legacy yake haitafutika
Mapambano P/S kuna kitu gani hukoHaitafutika akilini mwangu ni Shule ya msingi Mapambano
Nalog off
Mapambano yaendelee...Haitafutika akilini mwangu ni Shule ya msingi Mapambano
Nalog off
Huko kumenogaMapambano P/S kuna kitu gani huko
Kumenoga office za umma haupati huduma bila kuvaa BarakoaHuko kumenoga
Barakoa inaziuia kweli virusi? Chanjo za nini.. au tabia hujenga mazoea..Kumenoga office za umma haupati huduma bila kuvaa Barakoa
Mazoea yana tabuBarakoa inaziuia kweli virusi? Chanjo za nini.. au tabia hujenga mazoea..
Tabu ni jina la mtu tafadhaliMazoea yana tabu
Tafadhali Mkalimani wa Bibi, mbona hilo nafahamu fika, hayo ndio majina yetu ya kiasili, halafu jina hili la Tabu lipo kotekote, jinsia zote mbili linatumikaTabu ni jina la mtu tafadhali
Linatumika kwa maana mbalimbaliTafadhali Mkalimani wa Bibi, mbona hilo nafahamu fika, hayo ndio majina yetu ya kiasili, halafu jina hili la Tabu lipo kotekote, jinsia zote mbili linatumika
Linatumika hususani kwa watoto waliopitia shida ama matatizo kipindi wanapozaliwaTafadhali Mkalimani wa Bibi, mbona hilo nafahamu fika, hayo ndio majina yetu ya kiasili, halafu jina hili la Tabu lipo kotekote, jinsia zote mbili linatumika
Wanapozaliwa watoto kwenye hili suala la kupeana Majina, inasemekana kuna baadhi ya Majina siyo mazuri kuwapa watoto kwasababu mtoto atakapokuwa mkubwa kuna vitabia, au kuna baadhi ya mikosi mtoto anaweza kukumbwa nayo, na hii yote ni kutokana na Majina anayopewa Mtoto baada ya kuzaliwa.Linatumika hususani kwa watoto waliopitia shida ama matatizo kipindi wanapozaliwa