Wa mwisho ndiyo mshindi

Linatumika hususani kwa watoto waliopitia shida ama matatizo kipindi wanapozaliwa
Wanapozaliwa watoto kwenye hili suala la kupeana Majina, inasemekana kuna baadhi ya Majina siyo mazuri kuwapa watoto kwasababu mtoto atakapokuwa mkubwa kuna vitabia, au kuna baadhi ya mikosi mtoto anaweza kukumbwa nayo, na hii yote ni kutokana na Majina anayopewa Mtoto baada ya kuzaliwa.
Mkalimani wa Bibi na mgosani, je kuna ukweli wowote kuhusiana na hili, au ni dhana potofu tuliyoaminishwa?
 
146 Reactions
Reply
Back
Top Bottom