Wa mwisho ndiyo mshindi

Zizingatiwe haswa maana kuna msomi mmoja alikuwa tajiri wa mawazo, ameandika kitabu juu ya namna ya kuupata utajiri, then anaomba hapohapo achangiwe fedha za kukichapisha. Akajibiwa asome kitabu chake maana ameandika hizo mbinu za kupata shilingi.
Shilingi ni serufi/sarafu nzito ya madini huzaa noti aina ya karatasi ndiyo sbb ya sisi kushindana kuzitafuta !!
 
Back
Top Bottom