dingihimself
JF-Expert Member
- Jan 9, 2016
- 9,390
- 19,396
Kocha wa Kiafrika sijui wanashida ganinini kimesababisha Al-mereikh kumtimua kocha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kocha wa Kiafrika sijui wanashida ganinini kimesababisha Al-mereikh kumtimua kocha
Wanashida gani kutwa wanabebwa wanalishwa wanawezeshwa !!Kocha wa Kiafrika sijui wanashida gani
Wanawezeshwa ila hawawezesheki kuna tatizo mahaliWanashida gani kutwa wanabebwa wanalishwa wanawezeshwa !!
Mahali Pao siyo Rafiki kbs kwa maandaliziWanawezeshwa ila hawawezesheki kuna tatizo mahali
Mahali Pao siyo Rafiki kbs kwa maandalizi
Nini nikuzawadie baada ya ukirejea safariniMaandalizi hafifu ama nini?
Safarini sikupata adha yoyote,chagua zawadi upendayoNini nikuzawadie baada ya ukirejea safarini
Upendayo wewe nitajitahidi ni kisie best of the best...Safarini sikupata adha yoyote,chagua zawadi upendayo
Upendayo wewe nitajitahidi ni kisie best of the best...
Perfume original ni bora kwa mwili kuliko feki huchubua ngozi...The best zawadi is perfume
Ngozi yangu ni nyororoPerfume original ni bora kwa mwili kuliko feki huchubua ngozi...
Nyororo ndiyo nn au unaitunzajee?Ngozi yangu ni nyororo
Unaitunzaje? Lazima uwe makini vinginevyo utazidi kuiharibiNyororo ndiyo nn au unaitunzajee?
Kuiharibu minajili ya kuiboresha na kipa mng'ao wa kuvutia..Unaitunzaje? Lazima uwe makini vinginevyo utazidi kuiharibi
Sent from my CPH2015 using JamiiForums mobile app
Kuvutia itavutia pale unajipa bidii ya matunzoKuiharibu minajili ya kuiboresha na kipa mng'ao wa kuvutia..
Matunzo ya mwanamke ni gharama kweli
Kweli hilo halina ubishiMatunzo ya mwanamke ni gharama kweli
Ubishi huanzishwa na wanaume pale hodi unapo gongwa mfukoni.... pesa za matumizi
Ubishi ni wao hawataki kuwajibika
Matumiz ya mwanamke ,mumewe ni wajibu wakeUbishi huanzishwa na wanaume pale hodi unapo gongwa mfukoni.... pesa za matumizi