Mamylove yuko poa kabisa kabanwa na majukumu
Umeolewa na Mwarabu au mzawa?mamylove umeolewa?
Hii hii au mhamiaji haramu?
Haramu kwako kwa wengine ni halaliHii hii au mhamiaji haramu?
Halali kivipi wakati imesemwa kabisa ni haramu?Haramu kwako kwa wengine ni halali
Haramu ni boko haramu,wanaoteka watoto wanauchafua uislamu.Halali kivipi wakati imesemwa kabisa ni haramu?
Uislam unachafuliwa na wachache ambao kufanya mambo yao kwa kutumia kivuli chakeHaramu ni boko haramu,wanaoteka watoto wanauchafua uislamu.
ChakeChake huko Pemba ni pwani yenye mvutoUislam unachafuliwa na wachache ambao kufanya mambo yao kwa kutumia kivuli chake
Mvuto wake ni wa asiliChakeChake huko Pemba ni pwani yenye mvuto
Asili ya binadamu ni nini?Mvuto wake ni wa asili
Nini unaulizia chiefAsili ya binadamu ni nini?
Chief ina maana ujaelewa auNini unaulizia chief
Au sijaelewa vizuriChief ina maana ujaelewa au
Vizuri, kama ujaelewa unaulizaAu sijaelewa vizuri
Unauliza vipi namna ya kutuliza...?Vizuri, kama ujaelewa unauliza
Kutuliza HOFU isiyo na msingi wowote ni pale Watanzania tunaposikiliza ushauri wa serikali wa kuchapa kazi kwa bidii, kuchukua tahadhari, kumtanguliza Mola na kuwa mstari wa mbele katika kushiriki juhudi za ustawi na maendeleo ya taifa letu zuri la TanzaniaUnauliza vipi namna ya kutuliza...?