Zamiluni Zamiluni
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 13,997
- 15,103
Tatizo ni sisi wenyewe hatupendi kubadilikaTu tatumia pesa yote tu kwani kuna tatizo
Tatizo ni sisi wenyewe hatupendi kubadilikaTu tatumia pesa yote tu kwani kuna tatizo
Kubadilika badilika ni kukosa msimamo kwenye maishaTatizo ni sisi wenyewe hatupendi kubadilika
Maisha ndivyo yalivyo, kwako kuna msiba lakini kwa jirani kuna mdundiko
Mdundiko hurudia kadri miamala utendayo iwe shari au kheri.....Maisha ndivyo yalivyo, kwako kuna msiba lakini kwa jirani kuna mdundiko
Sent using Jamii Forums mobile app
Kheri ya Christmas na mwaka mpyaMdundiko hurudia kadri miamala utendayo iwe shari au kheri.....
Mpya inauzwa bei ya juu
Juu yake akipata mimbaMpya inauzwa bei ya juu
Kipato tu ndo shida ningeshakimbia nchi na LenieTofauti yangu na yako ni kipato tu
Chepee ndo working tool ya WakulungwaDedee, ile saa mnakufa nasukuma chepee
kuoa mke usiye mjua ni sawa na kuvaa jezi na huku mchezo HUJAUELEWA
Maelezo yake hayaendani na mada iliyojadiliwaHujaelewa swali na bado unataka maelezo
Baba Ako
Iliyojadiliwa kama muafaka haukufikiwa ni vizuri kurudia.Maelezo yake hayaendani na mada iliyojadiliwa
Kurudia rudia jambo moja ni mambo ya kijinga sana