Kijacho ktk mazingira haya ni Lazima kutii bila shuruti..Jiwe nalo ukilitunza linaweza likawa na thamani ya dhahabu kizazi kijacho
Shuruti ni aina ya kacholiKijacho ktk mazingira haya ni Lazima kutii bila shuruti..
Kacholi hupendwa Sana na wanaume wa dar
Kinondoni wameikimbia kwa sababu ya takwimuWanaume wa Dar wengi wamekimbia wilaya ya Kinondoni
Takwimu zinaonyesha mko active sanaKinondoni wameikimbia kwa sababu ya takwimu
Sana Sana hatulazi damu tunakeshaTakwimu zinaonyesha mko active sana
Tunakesha tukiomba ili nami mwakani nichukue form ya kugombea urais kwa ticket ya ccmSana Sana hatulazi damu tunakesha
Tunakesha usiku kucha kuwaza jinsi ya kuyakabili maisha ya bongoSana Sana hatulazi damu tunakesha
Bongo dar es salaam ni nyimbo ya Profesa J ambayo naikubali mpaka leoTunakesha usiku kucha kuwaza jinsi ya kuyakabili maisha ya bongo
leo kwa jirani kuna mnusoBongo dar es salaam ni nyimbo ya Profesa J ambayo naikubali mpaka leo
Mnuso Unanuswa Kikubwa Kama Yangaleo kwa jirani kuna mnuso
Nalog off
Yanga yaliwa kiboga huko ZambiaMnuso Unanuswa Kikubwa Kama Yanga
Zambia jirani zetu na pia ndugu zetuYanga yaliwa kiboga huko Zambia
Nalog off
zetu dua zilikuwa kwa ajili ya chura agongweZambia jirani zetu na pia ndugu zetu
Agongwe ili heshima ipatikanezetu dua zilikuwa kwa ajili ya chura agongwe
Nalog off
Ipatikane katiba mpya kwa mema ya nchi yetu Tanzania.Agongwe ili heshima ipatikane
Tanzania hamna timu mbovu kama simba wa matopeniIpatikane katiba mpya kwa mema ya nchi yetu Tanzania.
Nalog off
Matopeni ni yanga wanavyuraTanzania hamna timu mbovu kama simba wa matopeni