Sumti
JF-Expert Member
- Jan 30, 2016
- 2,311
- 2,157
Aibu waliyoipata chadema kwenye kesi ya lissu sio ya dunia hii
Mwisho Wa Ubaya Ni Aibu
Mwisho Wa Ubaya Ni Aibu
Hii kesi Chadema sijui kwanini walipoteza muda kwenda kuifungua wakati ni wazi yaani 100% hakuna ushindi maana Mahakama haiwezi kuingilia maamuzi ya BungeAibu waliyoipata chadema kwenye kesi ya lissu sio ya dunia hii
Bunge ni dhaifu ni kauli ya kiume kutoka kwa CAG AssadHii kesi Chadema sijui kwanini walipoteza muda kwenda kuifungua wakati ni wazi yaani 100% hakuna ushindi maana Mahakama haiwezi kuingilia maamuzi ya Bunge
Simba kwa lugha ya kule nitokako wanamwita"SIBUOR"Simba ni kiswahili Assad ni kiarabu hivyo ulitakiwa useme Assad kwa kiswahili ni Simba
Mkuu wa kaya ni babaSibuor ndiyo lugha gani hiyo mkuu??
Baba wa kambo wangekuwa na fikra kama za akina mama wa kambo basi ma-single mother na ma-senior bachelor wasingelipungua mitaaniMkuu wa kaya ni baba
mitaani kuna gumzo kuhusu kutenguliwa kwa boss wa TissBaba wa kambo wangekuwa na fikra kama za akina mama wa kambo basi ma-single mother na ma-senior bachelor wasingelipungua mitaani
mitaani kuna gumzo kuhusu kutenguliwa kwa boss wa Tiss
Nini kingetokea endapo ndani ya TANGANYIKA toka UHURU mpaka LEO pangeendelea kuwepo VYAMA VYA UPINZANITISS ni nini
Upinzani hakuna mbele ya Chama tawalaNini kingetokea endapo ndani ya TANGANYIKA toka UHURU mpaka LEO pangeendelea kuwepo VYAMA VYA UPINZANI
Tawala za miaka hii ni za kishamba sana.Upinzani hakuna mbele ya Chama tawala
Sana ila aliesema jiwe ni mshamba ameshaomba radhiTawala za miaka hii ni za kishamba sana.
Nalog off
Radhi ni kitu cha kufikirika kisichokuwa na ushahidiSana ila aliesema jiwe ni mshamba ameshaomba radhi
Ushahidi wa sauti zao ndio uliovujaRadhi ni kitu cha kufikirika kisichokuwa na ushahidi
Ushahidi wa sauti zao ndio uliovuja
Magoti yalipigwa mbele ya mzee babaUliovuja na kusababisha watu wazima kwenda kupiga magoti
Baba ndio jogoo wa familia ni marufuku kulibadilisha hiloMagoti yalipigwa mbele ya mzee baba
Offcoz sentensi yako hiyo umemalizia vibayaBaba ndio jogoo wa familia ni marufuku kulibadilisha hilo
Nalog off