Wa mwisho ndiyo mshindi

Macho yanatakiwa yamtazame mwanaume anayeogopa kudaiwa kama ni shoga,hafai kuwepo kwenye jamii yetu.
Nalog off
yetu na yao pia, Jamii zote hazifai kua na wanaume wa Aina jiyo, eti mtu anakudai ukisikia anagonga mlango unajificha uvunguni unamwambia mkeo na watoto zako wa kike "mwambieni sipo"🙉🙉🙉

Mbaf zako toka nje kabiliana nae🤪🤪🤪🤪🤪🤪
 
Back
Top Bottom