Washawasha
JF-Expert Member
- Aug 7, 2006
- 16,652
- 13,077
Mabeberu kwa kuwa wana upungufu wa nguvu za kiume basi yanalazimisha ushoga!ushirikiano wa Tz na China unazidkukua...¿cjui wao co mabeberu?
Nalog off
Mabeberu kwa kuwa wana upungufu wa nguvu za kiume basi yanalazimisha ushoga!ushirikiano wa Tz na China unazidkukua...¿cjui wao co mabeberu?
Mabeberu NI mbuzi dume wenye ubabe....ushirikiano wa Tz na China unazidkukua...¿cjui wao co mabeberu?
ubabe ambao kimsingi hauna maana yeyoteMabeberu NI mbuzi dume wenye ubabe....
yeyote anayechangia mada kwenye huu uzi anaweza kuwa wa mwisho, ila sasa nan atakubali mwenzake awe mshindi kwenye huu uzi?ubabe ambao kimsingi hauna maana yeyote
uzi huu ni uzi wa mileleyeyote anayechangia mada kwenye huu uzi anaweza kuwa wa mwisho, ila sasa nan atakubali mwenzake awe mshindi kwenye huu uzi?
milele daima, in moja kati ya tungo kali alizoandika Marlawuzi huu ni uzi wa milele
wapi alipo marlaw anajua besta, ni mke wale.Marlaw ni moja kati ya wasanii wenye vipaji vikubwa sana sijui yu wapi
Wale waliokua pamoja nae nao hawajui yupo wapiwapi alipo marlaw anajua besta, ni mke wale.
Wapi niende nipate maisha mazuriWale waliokua pamoja nae nao hawajui yupo wapi
Mazuri ya mwanadamu utayasikia pale msibani...Wapi niende nipate maisha mazuri
...huwa zinamaanisha Nini?Ahsante...
ushoga dar & tanga umekuw tatzo kubwa..naomba Sirikal hilivalie njugaMabeberu kwa kuwa wana upungufu wa nguvu za kiume basi yanalazimisha ushoga!
Nalog off
Njuga inabidi tulivalie hili suala la kugombea urais 2020 kwa ticket ya ccm.ushoga dar & tanga umekuw tatzo kubwa..naomba Sirikal hilivalie njuga
ccm ni ile ile tangu ilipoingia madarakaniNjuga inabidi tulivalie hili suala la kugombea urais 2020 kwa ticket ya ccm.
Nalog off
Madaraka ninayo mimi tu..ccm ni ile ile tangu ilipoingia madarakani
Tu alisikika mshabiki wa arsenal akiwatania mashabiki wa man utd ambao walipigwa bao mbili ila alivyogeuka nyuma akasikia arsenal kapigwa tatu na liverpoolMadaraka ninayo mimi tu..
Liverpool anaweza akachukua premier league msimu huuTu alisikika mshabiki wa arsenal akiwatania mashabiki wa man utd ambao walipigwa bao mbili ila alivyogeuka nyuma akasikia arsenal kapigwa tatu na liverpool
Nalog off