life is Short
JF-Expert Member
- Apr 1, 2013
- 4,741
- 3,031
Closed doors but windows are open....winner it's me and thread is closed
Closed doors but windows are open....winner it's me and thread is closed
hajaazima kwasababu ni zakeZake ndiyo, hajaazima!
Zake nguo ni mbaya hata akiwa ikulu hapendezi.hajaazima kwasababu ni zake
Off ni kuzima au kuwasha nauliza tuZake nguo ni mbaya hata akiwa ikulu hapendezi.
Nalog off
Off ni kuzima au kuwasha nauliza tu
Uzi ndio umepamba moto,si wa kuisha leo,jiwe litasogezwa lkn uzi utaendelea kuwepo.nauliza tu km upo tayari kuwa wa mwisho kwenye huu uzi
Kuwepo itategemea na uwepo wa waendelezaji wa gurudumuUzi ndio umepamba moto,si wa kuisha leo,jiwe litasogezwa lkn uzi utaendelea kuwepo.
Nalog off
Gurudumu la maendeleo bado linachechemeaKuwepo itategemea na uwepo wa waendelezaji wa gurudumu
Linachechemea kwa kuwa viongozi wanazingua,huwezi ukavaa suti na kwenda bank kukopa hela ya kufanya miradi mikubwa,pesa hizo zilipwe na wananchi halafu unatufanya wajinga eti na kusema hayo ni maendeleo!Gurudumu la maendeleo bado linachechemea
Gani? Huoni fly over mandege kibao jijini darMaendeleo gani?
Dar?Gani? Huoni fly over mandege kibao jijini dar
Dar ipi? Dareda au jiji kongwe?Dar?
Kongwe TanzaniaDar ipi? Dareda au jiji kongwe?
Tanzania ni nchi inayopitia kipindi kigumu mno!Kongwe Tanzania
Of coz lorry la mafuta Moro limetoa somoTanzania ni nchi inayopitia kipindi kigumu mno!
Nalog off
Somo inabidi litolewe kwa watu wasiojulikana ya kuwa wasisahau na wao wana familia zao!Of coz lorry la mafuta Moro limetoa somo
Zao kuu la mkoa wa mtwara ni koroshoSomo inabidi litolewe kwa watu wasiojulikana ya kuwa wasisahau na wao wana familia zao!
Nalog off
Korosho imemuabisha jiwe kwa kutumia vitisho badala ya akili,matokeo yake tumeyaona kuwa ni hasi.Zao kuu la mkoa wa mtwara ni korosho
hasi kweli ndio maana mpaka leo vitisho vyake vimeishaKorosho imemuabisha jiwe kwa kutumia vitisho badala ya akili,matokeo yake tumeyaona kuwa ni hasi.
Nalog off