Jr. Gong Mira
JF-Expert Member
- Dec 14, 2017
- 1,279
- 1,295
OfflineImara simama ili nawe uchukue form ya kugombania urais 2020 kwa tiketi ya ccm
Nalog off
OfflineImara simama ili nawe uchukue form ya kugombania urais 2020 kwa tiketi ya ccm
Nalog off
Wasalimie maswahiba zangu wakubwa kwa wadogo!!Yanga imara kabisaaa. Haya nimefurahi kusikia uzima wako binamu. Wasalimie.
Wadogo kwa wakubwa zimewafikia.Wasalimie maswahiba zangu wakubwa kwa wadogo!!
Zimewafikia zawadi zao pamoja na za binamu...Wadogo kwa wakubwa zimewafikia.
Zimewafikia habari ya kuwa 2020 nitagombania urais kupitia ccmWadogo kwa wakubwa zimewafikia.
Nalog Off. Afadhali umesema mapema najitolea kuwa mmoja kati ya watakaokupigia debe.Zimewafikia habari ya kuwa 2020 nitagombania urais kupitia ccm
Nalog off
Debe lipige sana mpaka muheshimiwa sana ajue kuwa 2020 ni noma tu,hatutoangaliana usoni.Nalog Off. Afadhali umesema mapema najitolea kuwa mmoja kati ya watakaokupigia debe.
Ntwe ndiyo kitu gani!Usoni Nina kovu la kupigwa ntwe !!
Mawazo yapo hata ulale bar..lock haitoki bar ladba upunguze mawazo
Bar inanoga kama utang'oa demu bomba.Mawazo yapo hata ulale bar..
Gani maana ya ntwe NI kichwa.Ntwe ndiyo kitu gani!
kichwa cha nyoka hakibebi mzigo,nyimbo kali sana ya jagwa music vol 10.Gani maana ya ntwe NI kichwa.
Volume 10 inatangaza Tuzo kabambe..kichwa cha nyoka hakibebi mzigo,nyimbo kali sana ya jagwa music vol 10.
Nalog off
OfflineLog off
offline hakuna jambo, njoo online ujionee mambozOffline
Mamboz ni mswano na mwaka 2020 nishajiandaa kuchukua nchi kwa ticket ya ccmoffline hakuna jambo, njoo online ujionee mamboz
Mawazo ya kifo anawaza mgonjwa baada ya mgomo wa madaktarilock haitoki bar ladba upunguze mawazo
Mawazo ya kifo anawaza mgonjwa baada ya mgomo wa madaktari