bbc
JF-Expert Member
- Jan 18, 2016
- 3,841
- 4,145
Wengi wetu tunaipenda sana lakini kuitafuta hatujui!nzuri kuliko yote ni Pesa,hii kitu inapendwa na wengi
Wengi wetu tunaipenda sana lakini kuitafuta hatujui!nzuri kuliko yote ni Pesa,hii kitu inapendwa na wengi
Hatujui kuwa ipo siku tutakufaWengi wetu tunaipenda sana lakini kuitafuta hatujui!
Tutakufa tu hata iweje kwa sababi imeshapangwa AllahHatujui kuwa ipo siku tutakufa
Allah ndio hupanga kila kitu kwa mwanadamTutakufa tu hata iweje kwa sababi imeshapangwa Allah
Mwanadam aliumbwa kwa mavumbi atarudi mavumbiniAllah ndio hupanga kila kitu kwa mwanadam
Mavumbini panatisha aiseeMwanadam aliumbwa kwa mavumbi atarudi mavumbini
Aiseee Mbona mko HiviMavumbini panatisha aisee
Hivi vipi, si ndiwo ukweli huo!Aiseee Mbona mko Hivi
Huo ukweli haukubaliki kiurahisi !!Hivi vipi, si ndiwo ukweli huo!
Kiurahisi kama hivi ama? Gongeni like basi jamaniHuo ukweli haukubaliki kiurahisi !!
Jamani hebu tuendelee na uzi wetu, tutagonga baadayeKiurahisi kama hivi ama? Gongeni like basi jamani
Baadaye hutoambulia kitu maana humu Kuna wajanja !!Jamani hebu tuendelee na uzi wetu, tutagonga baadaye
Wajanja kama mimi au washamba kama bbc,tomaa mireni au life is Short!!Baadaye hutoambulia kitu maana humu Kuna wajanja !!
Gari la kifahari likipita mtaani Umma mzima unashangaa!!Short ya umeme wa gari
Gari la kifahari likipita mtaani Umma mzima unashangaa!!
Swahiba kwema? hivi hili kinikia litaisha lini?Kapanic alipokosolewa na Swahiba !!
Lini ukasikia elimu ina mwisho?Swahiba kwema? hivi hili kinikia litaisha lini?
Mwisho wake kifoLini ukasikia elimu ina mwisho?
Kifo ni lazima kwa Kila kiumbe chenye uhaiMwisho wake kifo