CCM ni yetu na sisi ni wananchi..Utaisha siku ya uchaguzi 2020 ambao utashirikisha chama cha CCM
CCM ni yetu na sisi ni wananchi..
Chama kimwalea Viongozi na kuelimisha raia bila ajiziWananchi vilaza ndio wanakipenda hicho chama
Ajizi ndo msamiati gani tena?Chama kimwalea Viongozi na kuelimisha raia bila ajizi
Tena huo ni msamiati rahisi kuna iliyo migumu zaidi ya huoAjizi ndo msamiati gani tena?
Huo msamiati kama umewashinda kuuelewa basi nimalize kwa kujitangaza kuwa Mimi ndie mshindiTena huo ni msamiati rahisi kuna iliyo migumu zaidi ya huo
Mshindi kwa huo msamiati lakini si kwa uzi huuHuo msamiati kama umewashinda kuuelewa basi nimalize kwa kujitangaza kuwa Mimi ndie mshindi
Sana Sana mnasubiri nilete mrejesho wa neno AJIZI sileti ng'o !!huu uzi mshindi bado sana.
Ng'ombe wa maziwa ni ngumu sana ufugaji wakeSana Sana mnasubiri nilete mrejesho wa neno AJIZI sileti ng'o !!
Wake wa maBosi walichelewa kufika ukumbini .Ng'ombe wa maziwa ni ngumu sana ufugaji wake
Ukumbini ndyo sehemu nzuri ya kujiachiaWake wa maBosi walichelewa kufika ukumbini .
Kujiachia kunahitaji moyo wenye ushujaa kadamunasi...Ukumbini ndyo sehemu nzuri ya kujiachia
Kadamnasi yahtaji busara lasivyo unaeza onekana punguaniKujiachia kunahitaji moyo wenye ushujaa kadamunasi...
Punguani utaonekana hasa usipo jiheshimuKadamnasi yahtaji busara lasivyo unaeza onekana punguani
Punguani ni mtu aliepungukiwa na kitu kichwaniJiheshimu usipo jiheshimu utakuwa punguwani.
Kichwani kukiwa kuzuri hata tabia yako itakuwa nzuriPunguani ni mtu aliepungukiwa na kitu kichwani
nzuri kuliko yote ni Pesa,hii kitu inapendwa na wengiKichwani kukiwa kuzuri hata tabia yako itakuwa nzuri