life is Short
JF-Expert Member
- Apr 1, 2013
- 4,741
- 3,031
Atskupokea pale uwanja wa ndege akulete hoteliniMwanzo wako kuna mtu atakupokea
Atskupokea pale uwanja wa ndege akulete hoteliniMwanzo wako kuna mtu atakupokea
Hotelini ni mahala salama zaidi kuliko guestAtskupokea pale uwanja wa ndege akulete hotelini
Guest NI mgeni asiye na makazi maalumuHotelini ni mahala salama zaidi kuliko guest
Maalum kwa watu wenye uwezo wa kulipiaGuest NI mgeni asiye na makazi maalumu
Kulipia gharama za huduma kwa njia za mtandaoMaalum kwa watu wenye uwezo wa kulipia
mtandao wa tigo umekuwa na wakati mgumu sana kwani hilo jina linatumika vibayaKulipia gharama za huduma kwa njia za mtandao
Vibaya Kama Kula Tigo kwenye Kitako Cha Bundukimtandao wa tigo umekuwa na wakati mgumu sana kwani hilo jina linatumika vibaya
bunduki zikimilikiwa hovyo hovyo ni hatari sana kwa raia wa kima cha chiniVibaya Kama Kula Tigo kwenye Kitako Cha Bunduki
Chini ya bahari kuna viumbe wanaishibunduki zikimilikiwa hovyo hovyo ni hatari sana kwa raia wa kima cha chini
wanaishi comfortable kama sisi tunavyoishi huku nchi kavu kweli mungu ni mfalme wa viumbe vyoteChini ya bahari kuna viumbe wanaishi
Vyote tuvionavyo ni Mali yake aliye juuwanaishi comfortable kama sisi tunavyoishi huku nchi kavu kweli mungu ni mfalme wa viumbe vyote
juu ni makazi yetu ya milele baada ya maisha mafupi ya hapa dunianiVyote tuvionavyo ni Mali yake aliye juu
Duniani ni wapitajijuu ni makazi yetu ya milele baada ya maisha mafupi ya hapa duniani
wapitaji wengi huwa hatujitambui kuwa hapa tupo safariniDuniani ni wapitaji
Safarini, hata kipande cha andazi chaweza kuwa na msaadawapitaji wengi huwa hatujitambui kuwa hapa tupo safarini
Dunia ina mambo!!!bwana gani sasa?Msaada wangu ni kwa bwana.. aliyeumba mbingu na dunia
Sasa ni saa 19.27 huku nilikoDunia ina mambo!!!bwana gani sasa?
Niliko huku kumezuka taharuki ...Sasa ni saa 19.27 huku niliko
Taharuki zimesababishwa na nini? tujuze basiNiliko huku kumezuka taharuki ...