The Humble Dreamer
JF-Expert Member
- Oct 12, 2015
- 7,440
- 10,232
Utaratibu wa Malipo andaa weweMmoja wao inabidi apigwe faini kwa kutuharibia utaratibu
Utaratibu wa Malipo andaa weweMmoja wao inabidi apigwe faini kwa kutuharibia utaratibu
Wewe unaoneka mgumu kutoa mkwanjaUtaratibu wa Malipo andaa wewe
Mkwanja kwa usawa wa jiwe, ni ngumu kuutoaWewe unaoneka mgumu kutoa mkwanja
Kuutoa uongozi wa "jiwe Banyamulenge bichwa nundu" inahitajika nguvu ya ziadaMkwanja kwa usawa wa jiwe, ni ngumu kuutoa
Ziada ipi mpya kama tu hiz za miaka 4 zimeshindwaKuutoa uongozi wa "jiwe Banyamulenge bichwa nundu" inahitajika nguvu ya ziada
Zimeshindwa kweli,vipi tukimleta vandame,rambo,adoni,jetlii,don yen na MazombiZiada ipi mpya kama tu hiz za miaka 4 zimeshindwa
Zimeshindwa sababu wananchi hawajaamuaZiada ipi mpya kama tu hiz za miaka 4 zimeshindwa
Mazombi cyo rahis mana wana sura kama yakeZimeshindwa kweli,vipi tukimleta vandame,rambo,adoni,jetlii,don yen na Mazombi
Hawajaaamua mana na wewe unachanganya utaratibuZimeshindwa sababu wananchi hawajaamua
Utaratibu kuzingatiwa kwenye huu uzi sio rahisi kiivyoHawajaaamua mana na wewe unachanganya utaratibu
Kiiivyo ivyo tu tujitahidiUtaratibu kuzingatiwa kwenye huu uzi sio rahisi kiivyo
Mwanzo ulianza vizuri ila saiv umejichanganyaKiivyo ndo ilivyokuwa hapo mwanzo
Umejichanganya kwa sababu hujazingatia protokali ya huu uziMwanzo ulianza vizuri ila saiv umejichanganya
Huu uzi aliyechanganya ni huyo GACHIPAUmejichanganya kwa sababu hujazingatia protokali ya huu uzi
One and onlyLast one
GACHIPA hebu muone Charlie anavoharibu utaratibuHuu uzi aliyechanganya ni huyo GACHIPA
Utaratibu kaharibu GACHIPA, charlie kakosa uelekeoGACHIPA hebu muone Charlie anavoharibu utaratibu
Uelekeo ni kuanza na neno lililoishia kwenye sentensi ya aliyekutanguliaUtaratibu kaharibu GACHIPA, charlie kakosa uelekeo