life is Short
JF-Expert Member
- Apr 1, 2013
- 4,741
- 3,029
Kuuza bidhaa feki kumepigwa marufuku ,,,Yakutosha kula na ziada kuuza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuuza bidhaa feki kumepigwa marufuku ,,,Yakutosha kula na ziada kuuza
Marufuku kutumia plastiki kuanzia 1 june!!! Thubutu kukutwaKuuza bidhaa feki kumepigwa marufuku ,,,
Kukutwa na mfuko wa Rambo kuanzia Juni 1 fainiMarufuku kutumia plastiki kuanzia 1 june!!! Thubutu kukutwa
Ushindi uliachiwa lakini hukujua kwamba wewe ni mshindiFaini watowe ambao hawataki kuniachia ushindi
Mshindi atakuwa Bingwa wa karne !!Ushindi uliachiwa lakini hukujua kwamba wewe ni mshindi
Karne hii wa mwisho ndio mshindiMshindi atakuwa Bingwa wa karne !!
Mawinguni juu Kuna ughaibu usiyo fahamika..Konki ni piere liquid yuko juu juu mawinguni
fahamika bila pesa ni sawa na soda bila sukariMawinguni juu Kuna ughaibu usiyo fahamika..
Sukari ya warembo ndio nanifahamika bila pesa ni sawa na soda bila sukari
Sukari ya warembo ndio nani
Mazingira yanachafuliwa na mifuko ya plastiki ndio maana imepigwa marufukuNani anayechafua mazingira
Marufuku zipo nyingi tatizo lake hakuna usimamiziMazingira yanachafuliwa na mifuko ya plastiki ndio maana imepigwa marufuku
Usimamiza unatakiwa uwepo kila sehemuMarufuku zipo nyingi tatizo lake hakuna usimamizi
mafisadi ni chanzo cha umasikini
Kwasababu wana tamaa ya utajiri
Mkato gani umekata nywele zakoUtajiri Mzuri ni ule wa kuutafuta kwa jasho sio njia za mkato
Zako na zangu tukijuumisha zitakamilisha !!Mkato gani umekata nywele zako