feysher
JF-Expert Member
- Sep 6, 2016
- 2,656
- 2,762
Wako waliyokuelewa na wanazingatia ya muhimu!!
Muhimu kupata kinga kuliko tiba
Wako waliyokuelewa na wanazingatia ya muhimu!!
Tiba na Tayiba na Tabibu ni lugha adhimu ya kiarabu !!Muhimu kupata kinga kuliko tiba
Sana Sana ukijiunga na madrasa utajifunza !!Kiarabu ni Kigumu sana
Utajifunza kama ulivyojifunza lugha nyingineSana Sana ukijiunga na madrasa utajifunza !!
Nyingine itawasili baada ya dakika kadhaUtajifunza kama ulivyojifunza lugha nyingine
Kadha wa kadha ndio mambo yanayojadiliwa mitandaoniNyingine itawasili baada ya dakika kadha
Mitandaoni kunatukutanisha na hulka za aina !!Kadha wa kadha ndio mambo yanayojadiliwa mitandaoni
Aina za watu tofauti tofauti zipo ktk kila jamiiMitandaoni kunatukutanisha na hulka za aina !!
Aina za watu tofauti tofauti zipo ktk kila jamii
Jamii yetu imetawaliwa na utandawazi sana
Ubishi Ni hulka ya WAPINZANISana haina ubishi
Sana haina ubishi
Wafupi ndiyo waliogundua ngaziUbishi ndounatuponza watu wafupi
Ngazi upande juu ukiwa na uhakika la sivyo utaangukia pua !!Wafupi ndiyo waliogundua ngazi
pua ni sehem muhim kuliko kidole tumboNgazi upande juu ukiwa na uhakika la sivyo utaangukia pua !!
Tumbo langu limezoea saumu ya Ramadhani..pua ni sehem muhim kuliko kidole tumbo
Ranadhani kareemTumbo langu limezoea saumu ya Ramadhani..
Kareem kwa Ukarimu wa mvua za masika tutalima mazao yakutosha..Ranadhani kareem
Yakutosha kula na ziada kuuzaKareem kwa Ukarimu wa mvua za masika tutalima mazao yakutosha..