The Humble Dreamer
JF-Expert Member
- Oct 12, 2015
- 7,440
- 10,233
Jiwe nalo halina kitu. Jiwe ni jiniNyuma ya bashite inasemekana yupo jiwe
Jiwe nalo halina kitu. Jiwe ni jiniNyuma ya bashite inasemekana yupo jiwe
Jiwe nalo halina kitu. Jiwe ni jini
Kufikirika? Ngoja siku ukutane nalo ndo utajua ukweliJini ni viumbe vya kufikirika
Ukweli wa kilichomuua Dr Mengi bado hakijajulikanaKufikirika? Ngoja siku ukutane nalo ndo utajua ukweli
Hakijajulikana!!!basi labda uzeeUkweli wa kilichomuua Dr Mengi bado hakijajulikana
Uzee ni maji ya moto siku hiziHakijajulikana!!!basi labda uzee
Uzee ni maji ya moto siku hizi
Hizi ndizo nyakati za mwisho
Mwisho wangu na wewe ni kifo
Wote humu ndani ni mazombiKifo ndo mwisho wetu wote
Wote humu ndani ni mazombi
Uhalisia upi unaotaka wwMazombi hawapo kwenye maisha ya uhalisia
Uhalisia upi unaotaka ww
Nachotaka kumaanisha ni kwamba kila lisemwalo lipoWewe bado mdogo kunielewa nachotaka
Lipo ni umoja uwingi malipo, au siyo!Nachotaka kumaanisha ni kwamba kila lisemwalo lipo
Lipo ni umoja uwingi malipo, au siyo!
Ukijibie kile ulicho na uwezo nacho kama huna basi kiacheSiyo kila unachokiona lazima ukijibie
Ukijibie kile ulicho na uwezo nacho kama huna basi kiache
Wako waliyokuelewa na wanazingatia ya muhimu!!Kiache tu kama kipo nje ya uwezo wako