Huyu Mimi
JF-Expert Member
- Apr 16, 2019
- 2,573
- 2,091
Kifedha Tuko Nyuma Sana Labda Kingo.NoMagurudumu ya maendeleo ni taasisi za kifedha...
Kifedha Tuko Nyuma Sana Labda Kingo.NoMagurudumu ya maendeleo ni taasisi za kifedha...
Kupambana Kama Huna KiwandaKifedha ili uwe vizuri inabidi kupambana
Kiwanda NI matokeo ya jitihada na ubunifu...Kupambana Kama Huna Kiwanda
Ubunifu tanzania hakunaKiwanda NI matokeo ya jitihada na ubunifu...
Hakuna Ndo maana Treni ya Umeme Imekuja kama skrepa au Majaribio?Ubunifu tanzania hakuna
Majaribio ndiyo mfumo wa utafiti na mwendelezo yakinifu..Hakuna Ndo maana Treni ya Umeme Imekuja kama skrepa au Majaribio?
Yakinifu kama ripoti za CAG?Majaribio ndiyo mfumo wa utafiti na mwendelezo yakinifu..
CAG ni jukumu na madaraka mazito mie na wewe hatudiriki..Yakinifu kama ripoti za CAG?
Haturidhiki Kama Mikataba Ya WazunguCAG ni jukumu na madaraka mazito mie na wewe hatudiriki..
Wazungu wana uvivu wa kufikiriHaturidhiki Kama Mikataba Ya Wazungu
Kufikiri ni kugumu hivyo inapelekesha kuzubaa bila kuwajibika !!Wazungu wana uvivu wa kufikiri
Kuwajibika kwenye hamna?Kufikiri ni kugumu hivyo inapelekesha kuzubaa bila kuwajibika !!
Kuwajibika kwenye hamna?
Hisia zangu zinanituma kubetiHamna Noti Mnapata Wapi Hisia ?
Kubeti ni kazi ngumu yenye malipo yasiyotabirikaHisia zangu zinanituma kubeti
Yasiyotabirika NI misimamo ya vijana wengi wenye kupenda Njia za mkato !!Kubeti ni kazi ngumu yenye malipo yasiyotabirika
Mkato katika uandishi ni comma au siyo!Yasiyotabirika NI misimamo ya vijana wengi wenye kupenda Njia za mkato !!
Siyo ni neno la kuonesha kukata tamaaaMkato katika uandishi ni comma au siyo!
Kukata tamaa ni mwiko katika maisha.Siyo ni neno la kuonesha kukata tamaaa
Maisha kama magumu achana nayo fanya kitu kingineKukata tamaa ni mwiko katika maisha.