spectator Ion
JF-Expert Member
- Jul 30, 2018
- 332
- 324
Unatamani na mambo hayawezekaniNjopimanbost: 30753319 said:majambazi sio watu wazuri wanaweza fanya ukapoteza uhai ingali kuishi unatamani
Unatamani na mambo hayawezekaniNjopimanbost: 30753319 said:majambazi sio watu wazuri wanaweza fanya ukapoteza uhai ingali kuishi unatamani
hayawezekani vipi na wewe yesu si yupo atakufufuaUnatamani na mambo hayawezekani
Hayawezekani itikadi mbili kuwa ktk chungu kimoja...Unatamani na mambo hayawezekani
Kimoja kwa wingi ni nini?Hayawezekani itikadi mbili kuwa ktk chungu kimoja...
haieleweki nini apo mbona unachanganya habari
Habari inahusu ninihaieleweki nini apo mbona unachanganya habari
nini usichokijua apo mbona mambo yapo wazi hakuna kilichofichwa
Kilichofichwa hakionekani wazinini usichokijua apo mbona mambo yapo wazi hakuna kilichofichwa
wazi ni kifupi cha wazimu ambayo ni hali mtu ikimpata anaweza hata kuvua nguo mchana kweupe
kweupe kabisa najitangaza ni mshindi wa hii thread baada ya miaka mingi atimae nimeibuka kidedeawazi ni kifupi cha wazimu ambayo ni hali mtu ikimpata anaweza hata kuvua nguo mchana kweupe
Kidedea unaibuka kizembe hivi.kweupe kabisa najitangaza ni mshindi wa hii thread baada ya miaka mingi atimae nimeibuka kidedea
Hivi ni nan kamwambia ajitangaze yeye n mshndi?Kidedea unaibuka kizembe hivi.
Mshindi hutangazwa na si kujitangazaHivi ni nan kamwambia ajitangaze yeye n mshndi?
•Faith •Hope •Charity•
Kujitangaza ushindi NI kuvunja kanuni ktk ushindani Huu ulowekewa taratibu kadha wa kadhaa..Mshindi hutangazwa na si kujitangaza
Kadhaa na kadharika naitengua kauli yangu ya kujitangaza mshindi baada ya wakuu kuja juu na kuwa mingi kwa kuvunja sheriaKujitangaza ushindi NI kuvunja kanuni ktk ushindani Huu ulowekewa taratibu kadha wa kadhaa..
Sheria na protocol kuzingatiwa Laa sivyo utatumbuliwa !!Kadhaa na kadharika naitengua kauli yangu ya kujitangaza mshindi baada ya wakuu kuja juu na kuwa mingi kwa kuvunja sheria
utatumbuliwa hata wewe ukivunja sheriaSheria na protocol kuzingatiwa Laa sivyo utatumbuliwa !!
Sheria iheshimike bila shuruti kwa kila raia...utatumbuliwa hata wewe ukivunja sheria
Raia wema husaidiana na Polisi kufichua wahalifuSheria iheshimike bila shuruti kwa kila raia...