life is Short
JF-Expert Member
- Apr 1, 2013
- 4,741
- 3,031
Maandalizi ndiyo mpango haswa ktk utendaji na ufanisi..
Maandalizi ndiyo mpango haswa ktk utendaji na ufanisi..
ufanisi mzuri ni jambo zuri ktk kaziMaandalizi ndiyo mpango haswa ktk utendaji na ufanisi..
Kazi ni heshima kwa mtu humwekea hadhi ktk jamii na maisha kwa ujumla..
ujumla wa mambo yote ni mtu mwenyeweKazi ni heshima kwa mtu humwekea hadhi ktk jamii na maisha kwa ujumla..
Mwenyewe utazame neema na baraka ulizonazo..
ulizonazo ndio baraka kutoka kwa maulanaMwenyewe utazame neema na baraka ulizonazo..
Maulana ndiyo mwenye uwezo wa kugeuza mambo kutoka umasikini hadi utajiri..
Utajiri mwingine Wa kafaraMaulana ndiyo mwenye uwezo wa kugeuza mambo kutoka umasikini hadi utajiri..
Kafara inakikomo na fedheha mbele ya umma...
Ipi kisichokuwa na tafsiri "kafara ni kutosa damu kwa ajili ya kupata mali"
Mali ya mtu sio ya kuitamani kwa kuwa hujui ameipata wapiIpi kisichokuwa na tafsiri "kafara ni kutosa damu kwa ajili ya kupata mali"
Mali ndio zinafanya tumsahau muumba ktk hii duniaIpi kisichokuwa na tafsiri "kafara ni kutosa damu kwa ajili ya kupata mali"
Wapi aina ya watu wenye kujua tafsida na maadili hayo siku hizi ni Digital.com
.com ni kiishio cha utafutaji page kwenye mtandaoWapi aina ya watu wenye kujua tafsida na maadili hayo siku hizi ni Digital.com
.com ni kizazi kilichoanzia ktk awamu ya mkapaWapi aina ya watu wenye kujua tafsida na maadili hayo siku hizi ni Digital.com
Mtandao wa masiliano umerahisisha habari...
habari inayotrend kwenye mitandao ni kuhusu Nassary kuvuliwa ubunge sababu ya utoroMtandao wa masiliano umerahisisha habari...
majambazi sio watu wazuri wanaweza fanya ukapoteza uhai ingali kuishi unatamaniUtoro una maslahi ikitokea mkutano umevamiwa na majambazi