Kinyonyoke
JF-Expert Member
- Oct 4, 2016
- 3,495
- 13,132
Mashaka alikataa shule na sasa anaishi kwa mashakaYangu yako ulinitia khofu na mashaka..
Mashaka alikataa shule na sasa anaishi kwa mashakaYangu yako ulinitia khofu na mashaka..
Mashaka yangu ni kwa Nini hospitali hazina dawa?iMashaka alikataa shule na sasa anaishi kwa mashaka
Dawa labda tusubirie tu misaadaMashaka yangu ni kwa Nini hospitali hazina dawa?i
Misaada ya nini anzisheni viwanda vya dawaDawa labda tusubirie tu misaada
Misaada yetu kwa wenzetu walopatwa na maafa ?Dawa labda tusubirie tu misaada
Dawa za wa Masai zinauzika Sana kwa vijana!!Misaada ya nini anzisheni viwanda vya dawa
Tunapoanzia sio issue, la muhimu ni wewe kutambua kuwa nakupenda mamylove
Nakupenda ni neno gumu kutamkwa mwanaumeTunapoanzia sio issue, la muhimu ni wewe kutambua kuwa nakupenda mamylove
Sent using Jamii Forums mobile app
Moyoni kuna mengi tumeyafichaMwanaume wa dar ni rahisi kusema nakupenda ila sijui kama inatoka moyoni
Sent using Jamii Forums mobile app
Moyoni kuna mengi tumeyaficha
Lazima Simba afe kesho
Kesho itanyesha mvua tafuta mwamvuli mapema..Lazima Simba afe kesho
Mapema inafaa kuanza maandaliziKesho itanyesha mvua tafuta mwamvuli mapema..