Arien
JF-Expert Member
- Aug 29, 2017
- 11,245
- 11,741
unaendelea na utazidi kuendeleaHawajui kwamba uzi huu bado unaendelea
unaendelea na utazidi kuendeleaHawajui kwamba uzi huu bado unaendelea
Kuendelea kwa huu uzi kunatokana na jukwaa lenyeweunaendelea na utazidi kuendelea
Nashinda mimi jamani. chuma cha mjerumani emmyta anapenda pia passo japo anakaona kadogo.Kiurahisi nashinda
"Nakwenda Swaziland, a.k.a Mswati IV"
Kadogo si tatizo bora kawe kazuri, upo wewe?Nashinda mimi jamani. chuma cha mjerumani emmyta anapenda pia passo japo anakaona kadogo.
Wapi zadi ya JF hasa kwenye uzi huu wa wamwisho ndio mshindiYupo wapi
Mshindi wa Uchaguzi utakaorudiwa sidhani kama hatakuwa yuleyule.Wapi zadi ya JF hasa kwenye uzi huu wa wamwisho ndio mshindi
yule yule tuuu mlevi maana hakuna mwengineMshindi wa Uchaguzi utakaorudiwa sidhani kama hatakuwa yuleyule.
Mwengine anaweza kuwepo maana watu wakiamua inawezekanayule yule tuuu mlevi maana hakuna mwengine
Inawezekana kucheza biko hata kama unaibiwaMwengine anaweza kuwepo maana watu wakiamua inawezekana
Machoni huna usingizi pamoja na kwamba "umecheza" faulo!Usingizi umejaa machoni
Unaibiwa na tamaa yako wewe mwenyewe kijana mpenda kutoka kimaisha kiurahisi kuliko urahisi wenyeweInawezekana kucheza biko hata kama unaibiwa
utazipata ukizisakaMwenyewe ukipambana kutafuta fursa kwa bidii utazipata
Ukizisaka ngawira ndo kujishughulisha kwenyewe.utazipata ukizisaka