Arien
JF-Expert Member
- Aug 29, 2017
- 11,245
- 11,741
sana kuliko wengi wanavyofikiriKutowafahamu wana jf ni changamoto kubwa sana
sana kuliko wengi wanavyofikiriKutowafahamu wana jf ni changamoto kubwa sana
Wanavyofikiri husnathebosslady ni mwanamke kumbe ni dumesana kuliko wengi wanavyofikiri
dume lenye tabia za kikeWanavyofikiri husnathebosslady ni mwanamke kumbe ni dume
Za kike na za kiume zote anazitaka. Hatari sana.dume lenye tabia za kike
hatari sana kama wale watu wasiojulikanaZa kike na za kiume zote anazitaka. Hatari sana.
Wasiojulikana kwa baadhi ya watu.hatari sana kama wale watu wasiojulikana
Watu ni wachache lakini binAdam ni wengiWasiojulikana kwa baadhi ya watu.
watu wenyewe ndo sisiWasiojulikana kwa baadhi ya watu.
wengi wa binadamu hawana utuWatu ni wachache lakini binAdam ni wengi
Hawana utu wale wasiojulikanawengi wa binadamu hawana utu
Wasiojulikana wanaishi nchi ya kusadikikaHawana utu wale wasiojulikana
Kusadikika na Kufikirika ni vitabu vilivyotungwa na Shaaban RobertWasiojulikana wanaishi nchi ya kusadikika
Robert Mugabe ni Rais mwenye umri mrefu miongoni mwa Marais Barani AfrikaKusadikika na Kufikirika ni vitabu vilivyotungwa na Shaaban Robert
Afrika ni bara linaloongoza kwa kuwa na viongozi ving'ang'aniziRobert Mugabe ni Rais mwenye umri mrefu miongoni mwa Marais Barani Afrika
Ving'ang'anizi kama kupe kwenye ng'ombeAfrika ni bara linaloongoza kwa kuwa na viongozi ving'ang'anizi
Ng'ombe mpe malisho mazuri ndiyo umkamue maziwa!Ving'ang'anizi kama kupe kwenye ng'ombe
Maziwa ni mengi sana Barani Afrika, yapo hadi maziwa ya mamaNg'ombe mpe malisho mazuri ndiyo umkamue maziwa!
Familia ni baba, mama na watotomama ni mlezi mzur wa watoto katika familia