bbc
JF-Expert Member
- Jan 18, 2016
- 3,841
- 4,145
Kipepeo anapendeza kwa maua yakeKuchangamkia mambo ni sifa ya mwanamke kipepeo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kipepeo anapendeza kwa maua yakeKuchangamkia mambo ni sifa ya mwanamke kipepeo
Wapili sio labda wakwanza , kisha jomo kenyatta
Kenyatta si ndio yule aliyefanya uchaguzi urudiwe. Nakusalimia chuma cha mjerumani mzima?Wapili sio labda wakwanza , kisha jomo kenyatta
Mzima kama chuma cha puaKenyatta si ndio yule aliyefanya uchaguzi urudiwe. Nakusalimia chuma cha mjerumani mzima?
Mzima anafata nini milembe?Kenyatta si ndio yule aliyefanya uchaguzi urudiwe. Nakusalimia chuma cha mjerumani mzima?
Milembe ni hospitali ya vichaa.Mzima anafata nini milembe?
Milembe au Mirembe? Umenichanganya kidogo hapoMzima anafata nini milembe?
Hapo ndio umeandika nini sasaMilembe au Mirembe? Umenichanganya kidogo hapo
Sasa hujaona?
Nilivyokuandikia mimi ndivyo nilivyomaanisha
Nilivyomaanisha ni wachache sana wamenielewa,Nilivyokuandikia mimi ndivyo nilivyomaanisha
Hatua moja moja hufanya safari ndefu kama vile hazina kubwa ifanyavyo kwa kudunduliza senti moja moja.Wamenielewa lakin hawachukui hatua
Tunakula ili tuishi au tunaishi ile tule!sivipendi lakini tunakula