Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 46,917
- 122,172
HD kirefu chake ni Hard DiskWap naweza kupata smart TV curved HD?
HD kirefu chake ni Hard DiskWap naweza kupata smart TV curved HD?
Disc ni kifaaa chakuifadhi data, HD ni ufupisho wa High DefinitionHD kirefu chake ni Hard Disk
Definition hiyo sijawahi kuisikiaDisc ni kifaaa chakuifadhi data, HD ni ufupisho wa High Definition
Kusikia sio lazima uambiwe kwa sauti ukijaribu kuperuzii utapata mambo mengii likiwemo ilo la HD kwa kiswahili picha angavuDefinition hiyo sijawahi kuisikia
Angavu kwa kiswahili rahisi ni nini?Kusikia sio lazima uambiwe kwa sauti ukijaribu kuperuzii utapata mambo mengii likiwemo ilo la HD kwa kiswahili picha angavu
Nini? Labda waje wanajenziAngavu kwa kiswahili rahisi ni nini?
Wanajenzi ndio watu wanaojenga na kujenguea hoja kule mjengoni?Nini? Labda waje wanajenzi
Mjengoni dodoma au ikulu kwa mheshimiwaWanajenzi ndio watu wanaojenga na kujenguea hoja kule mjengoni?
Mheshimiwa mmojawapo wa madini atapigwa chiniMjengoni dodoma au ikulu kwa mheshimiwa
Chini alishapigwa sasa anaisoma nambaMheshimiwa mmojawapo wa madini atapigwa chini
Namba ya mwanzo ni moja au sifuri?Chini alishapigwa sasa anaisoma namba
Sifuri ?ila watu wengi huanzia moja sijui kwaniniNamba ya mwanzo ni moja au sifuri?
Namba zero (0) ina tabia ya ajabu, kushoto kwa namba haina thamani lakini kulia kwa namba inaongeza thamani!Chini alishapigwa sasa anaisoma namba
Thamani ya tanzanite ni kubwa kuliko makinikiaNamba zero (0) ina tabia ya ajabu, kushoto kwa namba haina thamani lakini kulia kwa namba inaongeza thamani!
Makinikia mjadala wake bado haujaisha?Thamani ya tanzanite ni kubwa kuliko makinikia
Bado haujaisha lakini kesho tutajua mbivu na mbichiMakinikia mjadala wake bado haujaisha?
Mbichi za sungura, yaani aliposema sizitaki mbichi hizi!Bado haujaisha lakini kesho tutajua mbivu na mbichi
Kuchangamkia mambo ni sifa ya mwanamke kipepeo