Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 48,321
- 115,321
Hatupo sawa watanzania kutokana na maisha kuwa magumuTupo kama hatupo
Hatupo sawa watanzania kutokana na maisha kuwa magumuTupo kama hatupo
Magumu kweli kweli,kutoka milo mitatu mpk mmoja aiseeHatupo sawa watanzania kutokana na maisha kuwa magumu
Aisee mmoja wenyewe unakuwa wa kubahatisha piaMagumu kweli kweli,kutoka milo mitatu mpk mmoja aisee
Aisee mmoja wenyewe unakuwa wa kubahatisha pia
Hizi sio zama za mchezoPia hata pesa za viwalo inapiga chenga siku hizi
Mchezo wa kulushiana mawe nyakati za mchana kama si usiku, hakika si mzuri kwa watoto.Hizi sio zama za mchezo
Watoto wanahitaji malezi boraMchezo wa kulushiana mawe nyakati za mchana kama si usiku, hakika si mzuri kwa watoto.
Sent using Jamii Forums mobile app
Rais gan? Unaye mzungumzia
Unayemzungumzia siyo yule ambaye matokea ya uchaguzi wake umebatilishwa!Rais gan? Unaye mzungumzia
Humo nchini kenya kumekuwa na shamra shamra juu ya maandiko ya kihistoria kwa kile kilichoonekana kuwa demokrasia imepata kufuatwa vile ipasavyoMahakama kuu nchini Kenya yatengua matokeo ya uchaguzi nchini humo
Sent using Jamii Forums mobile app
Sheria inatakiwa iwe kama msumeno!
Ipasavyo kabisa mkuu na wengi wetu hatukutegemea jambo kama hiloHumo nchini kenya kumekuwa na shamra shamra juu ya maandiko ya kihistoria kwa kile kilichoonekana kuwa demokrasia imepata kufuatwa vile ipasavyo
Mliache na msiendelee nalo tena