Murua ninapoingia uwanjani kwa mbwembwe zangu hakuna wakunifuata!!Burudani murua
Wakunifuata hakuna kwenye uzi huu usiku nakesha all aloneMurua ninapoingia uwanjani kwa mbwembwe zangu hakuna wakunifuata!!
Wakunifuata hakuna kwenye uzi huu usiku nakesha all alone
Kibao alichapwa Mzee Mugabe ni kumdhalilisha, Ile Yule bi Mkubwa naye shujaa!Alone kivipi wakati wadau tuko kibao...
Shujaa ni yule asiepandisha hasira au ghadhabu anapo kabiliana na mtafaruku......Kibao alichapwa Mzee Mugabe ni kumdhalilisha, Ile Yule bi Mkubwa naye shujaa!
Mtafaruku aliouanzisha haukuwa mdogo, pia mkuu wa usalama alichapwa vibao Na Mama Grace MugabeShujaa ni yule asiepandisha hasira au ghadhabu anapo kabiliana na mtafaruku......
Mtafaruku aliouanzisha haukuwa mdogo, pia mkuu wa usalama alichapwa vibao Na Mama Grace Mugabe
Afrika ni Bara la viongozi waigizaji.Mugabe ni mfano mzuri wa kiongozi Afrika.
Waigizaji kweli mpo wengi maana usiku kucha nimekesha pekee yangu lakini kuna wanaodai tulikuwa kibao! nimechekaAfrika ni Bara la viongozi waigizaji.
Nimecheka leo kutwa nzima mmekimbia sijui mtasingizia nini kwa kujifichaWaigizaji kweli mpo wengi maana usiku kucha nimekesha pekee yangu lakini kuna wanaodai tulikuwa kibao! nimecheka
Kujificha kwa mashabiki wa Simba wakati Yanga wakikabidhiwa kombe ni utovu wa nidhamu.
Mashuleni kumejaa vijana wenye vipajiNidhamu imepungua mashuleni
Vipaji vya vizazi vipya ni kujinasibu ktk usanii tu hakuna Zaidi ya kuimba, hapa taifa litadoda kimaendeleo......Mashuleni kumejaa vijana wenye vipaji
East Africa haiwezi kuwashinda West Afrika katika michezo ya kimataifa.....Kenya ndio nchi inayoongoza kwa ufisadi ndani East Africa
Kimataifa leo mliukacha uzi the whole day saa hizi ndiyo mmechomozaEast Africa haiwezi kuwashinda West Afrika katika michezo ya kimataifa.....