mpita-njia
JF-Expert Member
- Dec 3, 2010
- 1,732
- 1,610
Zitaisha lini? Ulishawai kuona ubwabwa ukiliwa kwa tende?
Tende zikichanganywa na maziwa unaweza kunywa mpaka kuvimbiwaZitaisha lini? Ulishawai kuona ubwabwa ukiliwa kwa tende?
Tende zikichanganywa na maziwa unaweza kunywa mpaka kuvimbiwa
Ulafi ni kwenye Kula tu au unaweza pia tumika kwenye matamanio ya kimwili?Kuvimbiwa ni matokeo ya ulafi...
Ulafi ni kwenye Kula tu au unaweza pia tumika kwenye matamanio ya kimwili?
Kwingine hapana, sasa mtu anayependa sana ngono utamwita?Kimwili Tena mpita njia naona unaelekea kwingine
Kwingine hapana, sasa mtu anayependa sana ngono utamwita?
Hatoshezeleke au hatoshelezeki ndiyo ufasaha wa maelezoUtamwita mzinzi maana hatoshezeleke
Maelezo yake yanasikitisha kiasiHatoshezeleke au hatoshelezeki ndiyo ufasaha wa maelezo
Kiasi ndugu Kitoabu kunielwa vibaya ati nimemtukana..La hasha kwani manti ya uzi huu ni kujibizana.....Maelezo yake yanasikitisha kiasi
Kimaadili hizi nyimbo za bongo fleva hazifai kwani zapoteza mwelekeoKujibizana kwa maneno mabaya sio vizuri kimaadili
Humu Jamii Forum wachangiaji wengi Majipu.Mwelekeo upi wameelekea wana wa humu
majip leo yametumbuliwa 'ea poti'Humu Jamii Forum wachangiaji wengi Majipu.
ea poti wanafanyakazi kama vile uwanja si wa kimataifamajip leo yametumbuliwa 'ea poti'
Kimataifa? Mi naona ni ka wa mchangani.ea poti wanafanyakazi kama ule uwanja si wa kimataifa
Namuona Mhe Magu tbc1anavyohojiana na wafanyakazi wa uwanja wa ndegeKimataifa? Mi naona ni ka wa mchangani.
Namuona Mhe Magu tbc1anavyohojiana na wafanyakazi wa uwanja wa ndege
Kumuangalia kwenye TV ni burudaniNdege mzuri hupendeza kumuangalia.