Zamiluni Zamiluni
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 13,997
- 15,104
Mmechomoza mlipo chomekea, Ndg Mtebetini nilikumiss hadi nikavunja safari......Kimataifa leo mliukacha uzi the whole day saa hizi ndiyo mmechomoza
Mmechomoza mlipo chomekea, Ndg Mtebetini nilikumiss hadi nikavunja safari......Kimataifa leo mliukacha uzi the whole day saa hizi ndiyo mmechomoza
Safari ulikuwa unaenda wapi mpaka ukaivunjaMmechomoza mlipo chomekea, Ndg Mtebetini nilikumiss hadi nikavunja safari......
Ukaivunja ile safari ya kuingia jangwani, ikanibidi niwe mpole kuliendeleza jukwaa letu tukufu.....Safari ulikuwa unaenda wapi mpaka ukaivunja
Tukufu wapi tena lilipo hilo jukwaaUkaivunja ile safari ya kuingia jangwani, ikanibidi niwe mpole kuliendeleza jukwaa letu tukufu.....
Kubwa tatizo waumin wanazidisha wivu mpaka unaleta maafaWivu kwa imani ya dini yngu ni sunna kubwa
Maafa makubwa wote mmekacha tena kukeshaKubwa tatizo waumin wanazidisha wivu mpaka unaleta maafa
Kukesha mtandaoni kunahitaji stamina na mazoea.....Maafa makubwa wote mmekacha tena kukesha
Mazoea yanatabu kukosa ni adhabu,mbona mkesha ulikuwa kawaidaKukesha mtandaoni kunahitaji stamina na mazoea.....
Kawaida yako Mkuu umezoea kimaisha, siye waajirwa tuna keep time kuwahi kazini.....Mazoea yanatabu kukosa ni adhabu,mbona mkesha ulikuwa kawaida
Kazini jana na leo huwa ni mapumzikoKawaida yako Mkuu umezoea kimaisha, siye waajirwa tuna keep time kuwahi kazini.....
Mapumziko ni moja ya faraja baada ya juhudi za kila siku....Kazini jana na leo huwa ni mapumziko
Siku haiwezi kuisha bila mapumzikoMapumziko ni moja ya faraja baada ya juhudi za kila siku....
Mapumziko yangu nitachukuwa mwezi wa sita nitaenda kisiwani Mafia......Siku haiwezi kuisha bila mapumziko
Mafia kuna hotel ya bei mbaya utafikia hapo?Mapumziko yangu nitachukuwa mwezi wa sita nitaenda kisiwani Mafia......
Hapo hapo nimeweka miadi yakukutana na msh'kaji wangu !!Mafia kuna hotel ya bei mbaya utafikia hapo?
Wangu uwele nimeuweka kwenye ghalaHapo hapo nimeweka miadi yakukutana na msh'kaji wangu !!
Ghala iliyojaa panya hapatabakia uwele wa hata mtama !!Wangu uwele nimeuweka kwenye ghala
Ha ha haaa,nimechelewa kujiunga tu JF.Wake wa viongozi wa ccm wanayo kazi maana kila siku fumanizi.