Wa mwisho ndiyo mshindi

Mtaani kwetu hatupendi shule, mtaani kwetu tunakula ngadu, mtaani kwetu kila siku usiku tunawanga. Mtaani kwetu jameni kufumaniana jambo la kawaida.... Mtaani kwetu....
 
Kabisa nakubali jamaa wa UWT ndio uliompandisha chati Dk. Ulimboka.
 
Amsaidie apone ili mambo ya madaktari yaishe yaje ya Walimu kwani wanafanya kazi ngumu kuliko wabunge lakini mshara wao ni posho za wabunge watatu kwa siku
 
Back
Top Bottom