MalcolM XII
JF-Expert Member
- Mar 19, 2019
- 5,230
- 14,192
Kilainishi ni shehemu(grease) ya kumwagiwa ndani ya kitasa
Kitasa kwenye mpira ni beki wa kati
Kilainishi ni shehemu(grease) ya kumwagiwa ndani ya kitasa
Kati kati ni patamKitasa kwenye mpira ni beki wa kati
Patam eeeh patamKati kati ni patam
Patam ni pale atakapopatikana mshindiPatam eeeh patam
Patam ni pale atakapopatikana mshindi
Dhahabu ya ubingwa nampa Galbi moyo wangu wote kawchukuwa..Mshindi ni mwenye anapewa medal ya Thahabu
Kawchukuwa ama ni kauchukua?Dhahabu ya ubingwa nampa Galbi moyo wangu wote kawchukuwa..
Kauchukua kaenda nao wapi?Kawchukuwa ama ni kauchukua?
Wapi nitakula bata vizuri nikiwa mkoani Morogoro?Kauchukua kaenda nao wapi?
Morogoro hihii mji kasoro bahari?Wapi nitakula bata vizuri nikiwa mkoani Morogoro?
Nalog off
Bahari ya sham.Morogoro hihii mji kasoro bahari?
Shamshamu zenu rudisheni moyo wangu akina Galbi sivizuri hivo !!Bahari ya sham.
Hivo ndo tunavyonyonya wanaumeShamshamu zenu rudisheni moyo wangu akina Galbi sivizuri hivo !!
Wanaume wenye majukumu mazito ni hao Wakurugenzi...Hivo ndo tunavyonyonya wanaume
Wakurugenzi wote ndaniWanaume wenye majukumu mazito ni hao Wakurugenzi...
Ndani ya safinaWakurugenzi wote ndani
Safina huwa ni chombo cha kusafiriaNdani ya safina
Kusafiria kwenda wapiSafina huwa ni chombo cha kusafiria
Wapi naweza kupata mbususuKusafiria kwenda wapi
Wapi wapi bar ilalaKusafiria kwenda wapi