Lenie
JF-Expert Member
- Aug 3, 2012
- 17,223
- 49,847
Kichwani zimejaa pumbaMrembo Halafu hana akili kichwani
Kichwani zimejaa pumbaMrembo Halafu hana akili kichwani
Kichwani zimejaa pumba
Kabsa yaani, tatizo lake ni mbishi sana yule mtuPumba za mahindi Kabsa
Kabsa yaani, tatizo lake ni mbishi sana yule mtu
Yoyote atakayekiuka sheria, atapatiwa adhabuMtu mwenyewe hana maana yoyote
Yoyote atakayekiuka sheria, atapatiwa adhabu
Yote hayo ni unafiki uliye kubuhu !!Adhabu Kali ambayo utaikumbuka maisha yako yote
Yote hayo ni unafiki uliye kubuhu !!
Unafiki ni makazi ya chini Kabisa ya moto wa Jahanamu!!Kubuhu kwenye vyote ila sio unafiki
Unafiki ni makazi ya chini Kabisa ya moto wa Jahanamu!!
Hatari kufunga mabango na matangazo ktk nguzo za umeme..Jahanamu ni sehemu ambayo ni hatari
Hatari kufunga mabango na matangazo ktk nguzo za umeme..
Jamani msichezee mali za Umma adhabu yake kufungwa!!Umeme unaua acheni masihala jamani
Kufungua au kufungwa?Jamani msichezee mali za Umma adhabu yake kufungua!!
Kufungua au kufungwa?
Nalog off
Família yetu ni maskiniKufungwa jela na kukaa mbali na familia
Família yetu ni maskini
Nalog off
Tumaini letu liko Kwa MunguMasikini ila Tuko na tumaini
Tumaini letu liko Kwa Mungu
Nalog off
Nchi ya Tanzania ni hivyo sana haijawekeza kwenye michezo na ndio maana hatuna medali yoyote,wenzetu Kenya na Uganda wanajiokotea tu medali huko Tokyo. Kilichobaki wanalazimisha utanzania wa Malaika Mihambo wa UjerumaniAliyeziumba mbingu na nchi