Said Cosmetics
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 2,001
- 1,586
Mmoja tu si zaidi ya mwingineNdoa tamu ni ya mke mmoja
Mmoja tu si zaidi ya mwingineNdoa tamu ni ya mke mmoja
Mwingine anapenda mafiga matatuMmoja tu si zaidi ya mwingine
Matatu si matusiMwingine anapenda mafiga matatu
Matusi sio diliMatatu si matusi
Dili nilifunga na msela nikaliwa dola mia nane!!Matusi sio dili
Nanenane ni siku ya wakulimaDili nilifunga na msela nikaliwa dola mia nane!!
Wakulima waenziwe kwa juhudi zao...Nanenane ni siku ya wakulima
Zao juhudi hazitambuliki na mamlakaWakulima waenziwe kwa juhudi zao...
Mamlaka ijitathmini laa sivyo tutaifutaZao juhudi hazitambuliki na mamlaka
Tutaifuta habari ya kutuma hela na ya kutoleaMamlaka ijitathmini laa sivyo tutaifuta
Kutolea mbali gharama za uendeshaji...Tutaifuta habari ya kutuma hela na ya kutolea
Uendeshaji bila tahadhari huleta madhara kwa watumiaji wengine wa barabara.Kutolea mbali gharama za uendeshaji...
Barabara nyeupee hakuna chombo !!Uendeshaji bila tahadhari huleta madhara kwa watumiaji wengine wa barabara.
Chombo ni nyimbo ya rayvanyBarabara nyeupee hakuna chombo !!
mamlaka huwa ni kitu cha muda tu nduguZao juhudi hazitambuliki na mamlaka
rayvany hafui dafu kwa wanaume halisiChombo ni nyimbo ya rayvany
Halisi ikiongozwa na kibla sir Nature ilikuwa ni burudani sanarayvany hafui dafu kwa wanaume halisi
Sana sio kidogoHalisi ikiongozwa na kibla sir Nature ilikuwa ni burudani sana
Kidogo kidogo hujaza kibabaSana sio kidogo
Kibaba cha mafuta ya kula zamani tuliuziwa sh 5Kidogo kidogo hujaza kibaba