Patra31
JF-Expert Member
- Apr 24, 2020
- 6,707
- 13,319
Jibu lililo na utataFumbo lililo jibu
Jibu lililo na utataFumbo lililo jibu
Jibu lililo na utata
Moja kwa Moja alipelekwa hadi mahakamaniUtata ni kitu kisichokua na maana ya moja kwa moja.
Mahakamani ni mahali pa kutoa hukumuMoja kwa Moja alipelekwa hadi mahakamani
Hukumu ya haki ina gharama...Mahakamani ni mahali pa kutoa hukumu
Gharama ni ndogoHukumu ya haki ina gharama...
Ndogo haina kiwango cha kutusholeza bakuli...Gharama ni ndogo
Bakuli liwe limejaa sembe ndo muhimuNdogo haina kiwango cha kutusholeza bakuli...
Muhimu kujiandikisha NIDA upate kitambulishoBakuli liwe limejaa sembe ndo muhimu
Kitambulisho hadi kula biriani kinahitajika siku hiziMuhimu kujiandikisha NIDA upate kitambulisho
Hizi sikukuu zimewafanya watu wawehukeKitambulisho hadi kula biriani kinahitajika siku hizi
Wawehuke na kuwehuka na ukiongeza kipigo alichopigwa Simba basi imekuwa keroHizi sikukuu zimewafanya watu wawehuke
Kero ya usafiri jijini dar itaisha lini?Wawehuke na kuwehuka na ukiongeza kipigo alichopigwa Simba basi imekuwa kero
Lini utaenda kijijiniKero ya usafiri jijini dar itaisha lini?
Kijijini kwenu kuna kivutio kipi cha asili?Lini utaenda kijijini
Asili ya waafrika wengi ni uchawi na unafikiKijijini kwenu kuna kivutio kipi cha asili?
Unafiki ni kitu kibaya sana, tena bora mwizi kuliko mnafikiAsili ya waafrika wengi ni uchawi na unafiki
Mnafiki ni sawa na panya, anauma na kupulizaUnafiki ni kitu kibaya sana, tena bora mwizi kuliko mnafiki
Kupuliza moshi ili moto uwake aisee ni hatari sanaMnafiki ni sawa na panya, anauma na kupuliza
Sana sana unapozubaa ndio mauzauza huanza kaziKupuliza moshi ili moto uwake aisee ni hatari sana